Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi akiwa na Rais wa FIFA

Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi akiwa na Rais wa FIFA

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, akiwaongoza Rais wa FIFA, Gianni Infantino na wa Caf Patrice Motsepe kuelekea na kisha kushiriki zoezi la kupanda miti ya matunda katika eneo la Shule ya St.

Constantino, Arusha, kabla ya mechi ya kirafiki ya viongozi hao iliyochezwa jioni ya leo Agosti 10, 2022.

1660155259935.png

1660155311220.png

1660155391118.png
 
Back
Top Bottom