Wizara zipimwe kwa mambo mawili ya ziada kuongeza mapato ya serikali na kuongeza ajira

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Pamoja na majukumu ya kawaida ya wizara lakini kila wizara upimwe inaongezaje mapato ya serikali na inaongezaje ajira
 
Haya Mapato ya ziada wayatoe wapi kama si kwako wewe mwananchi wa Kawaida?Wizara hazifanyi biashara ili zipate faida. Ili kupata Mapato ni lazima wakuongezee wewe tozo na kodi
 
UNAOTA wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa wana miradi kupitia SUMA JKT

Wizara ya mali ya asili na utalii wana mbuga

Wizara ya mawasiliano na uchukuzi wana Reli na meli nk
 
Pamoja na majukumu ya kawaida ya wizara lakini kila wizara upimwe inaongezaje mapato ya serikali na inaongezaje ajira
Lazima tutaongea lugha moja tu. Hili halihitaji mitano tena. Ni ndani ya mmoja tu. Vipi Loan board wanasemaje aisee?
 
Pamoja na majukumu ya kawaida ya wizara lakini kila wizara upimwe inaongezaje mapato ya serikali na inaongezaje ajira
Ukiacha kusomesha watu namba na kukaza vyuma ajira na mapato yataongezeka.
Ukiuwa sekta binafsi ni lzm ajira na mapato yapungue
 
Back
Top Bottom