fadhili123
New Member
- Jun 16, 2026
- 1
- 1
Voda wanazingua sanaVODACOM wakiishiwa kwa tulio na simu na line zao wanaiba mchana kweupee..!
Hebu ona ujumbe nimetumiwa..
"Umetozwa Sh 100.0 TSH kwa ajili ya hadithi BABA NISAMEHE. Piga 0901767676 kuweza kusikiliza simulizi nzuri. Kujitoa tuma neno ONDOA kwenda 15460"
Hapo nipende nisipende nimekatwa shs 100 toka akaunti yangu ya m-pesa.
Halafu ukituma neno ONDOA kwenye namba waliyokupa, ujumbe hauendi maana wsmeublock, na wanaendelea kukukata pesa.
VODACOM wana wateja zaidi ya milioni 10. Hivyo kwa click moja wamekwapua bilioni moja toka kwa wateja wao.
Hata tukilalamika TCRA huwa hakuna action yoyote ya kurudisha hiyo 1b kwa wateja.
Kuna wana sheria humu, twawezaje kishitaki VODACOM kwa wizi huu?
Hapana. Wanafanya kusudi. Nilipoligiwa simu na customer service sikupokea, nilikata. Papo hapo ukaja ujumbe kuwa nimejiunga na huduma tajwa ya huyo jamaa. Nikawapigia mtandao na walikiri.Mkuu hizi huduma unajiunga mwenyewe, Wala Vodacom hawausiki, wewe cha kufanya jiondoe tu.
Wanaunga kusudi. Walikiri hilo baada ya kuwapigia. Ila niliwaambia kuwa kama ni huduma basi waiweke ktk orodha ili nichague na nikatwe pesa nikiwa timamu nikifuatisha menu kuliko kuviziana namna hiyo.Kuna mambo mawili...
1. Aidha kuna mtu alishika simu akajiunga na hiyo huduma, au wao wenyew katika pop ups zao za kitangaza hiyo huduma ulithibitisha kwa bahat mbaya bila kujua...
2. Wao kama Vodacom kwasababu sio mtu mmoja, ni ngumu mfanyakaz mmoja akufanyie hivyo wakati mshahara wake upo pale pale, hivyo ni mfumo umeyumba
Inaonekana una hasira sana mkuu 😂Wanaunga kusudi. Walikiri hilo baada ya kuwapigia. Ila niliwaambia kuwa kama ni huduma basi waiweke ktk orodha ili nichague na nikatwe pesa nikiwa timamu nikifuatisha menu kuliko kuviziana namna hiyo.
😂😂😂kuliko kuviziana namna hiyo
Huyo jamaa amenikumbusha hiyo issue. Ni utapeli mtupu. 😄Inaonekana una hasira sana mkuu 😂
Hahahahq wote mkuuVODACOM wakiishiwa kwa tulio na simu na line zao wanaiba mchana kweupee..!
Hebu ona ujumbe nimetumiwa..
"Umetozwa Sh 100.0 TSH kwa ajili ya hadithi BABA NISAMEHE. Piga 0901767676 kuweza kusikiliza simulizi nzuri. Kujitoa tuma neno ONDOA kwenda 15460"
Hapo nipende nisipende nimekatwa shs 100 toka akaunti yangu ya m-pesa.
Halafu ukituma neno ONDOA kwenye namba waliyokupa, ujumbe hauendi maana wsmeublock, na wanaendelea kukukata pesa.
VODACOM wana wateja zaidi ya milioni 10. Hivyo kwa click moja wamekwapua bilioni moja toka kwa wateja wao.
Hata tukilalamika TCRA huwa hakuna action yoyote ya kurudisha hiyo 1b kwa wateja.
Kuna wana sheria humu, twawezaje kishitaki VODACOM kwa wizi huu?
Ila hawa mitandao ya simu usipokuw makini wanachukuag hata elf kumi kwa mwaka bila kujuaHuyo jamaa amenikumbusha hiyo issue. Ni utapeli mtupu. 😄
Nimetumia Vodacom miaka zaidi ya kumi sasa sijawai kukutana na kitu kama hiki. Kua makini tu kwenye utumiaji wakoVODACOM wakiishiwa kwa tulio na simu na line zao wanaiba mchana kweupee..!
Hebu ona ujumbe nimetumiwa..
"Umetozwa Sh 100.0 TSH kwa ajili ya hadithi BABA NISAMEHE. Piga 0901767676 kuweza kusikiliza simulizi nzuri. Kujitoa tuma neno ONDOA kwenda 15460"
Hapo nipende nisipende nimekatwa shs 100 toka akaunti yangu ya m-pesa.
Halafu ukituma neno ONDOA kwenye namba waliyokupa, ujumbe hauendi maana wsmeublock, na wanaendelea kukukata pesa.
VODACOM wana wateja zaidi ya milioni 10. Hivyo kwa click moja wamekwapua bilioni moja toka kwa wateja wao.
Hata tukilalamika TCRA huwa hakuna action yoyote ya kurudisha hiyo 1b kwa wateja.
Kuna wana sheria humu, twawezaje kishitaki VODACOM kwa wizi huu?
Hakuna kujiunga mwenyewe...wanakuunga wao wanakata helaMkuu hizi huduma unajiunga mwenyewe, Wala Vodacom hawausiki, wewe cha kufanya jiondoe tu.
Ungesema tsh 500, hakuna wizara TZ yenye wafanyakazi hata 1M , sasa alitajirika vipiKumbe alikuwa akitufyeka sh. 5 Wafanyakazi wote Wizara nzima na hakuna mtu aliyebaini mapungufu ya kiasi hicho kidogo kwenye mshahara wake, na ni vigumu sana.
Mkuu ukiona umeunganishwa hata kwa charge ya Tshs 100, ujue VODACOM hapo wamesha kwapua karibia Bilioni moja.Wanaunga kusudi. Walikiri hilo baada ya kuwapigia. Ila niliwaambia kuwa kama ni huduma basi waiweke ktk orodha ili nichague na nikatwe pesa nikiwa timamu nikifuatisha menu kuliko kuviziana namna hiyo.
Washitaki kama walifanya kusudiHapana. Wanafanya kusudi. Nilipoligiwa simu na customer service sikupokea, nilikata. Papo hapo ukaja ujumbe kuwa nimejiunga na huduma tajwa ya huyo jamaa. Nikawapigia mtandao na walikiri.
Hawa nyangʼau huwakuti wakija kutoa ufafanuzi kwenye mambo ya wizi kama haya,wanaogopa spanner za wateja.Vodacom Tanzania njooni huku mjisafishe
Hivi unaamini mtu mzima aliyejiunga JamiiForums since 2014 anaweza akajiunga kwa hela yake kusikiliza hadithi inayoitwa “BABA NISAMEHE”?Kukuonyesha ushahidi haikufanyi kuwa ni wewe ulijiunga kumbuka wanatumia system na system huamrishwa na walio ndani ifanye kipi na ukiuliza wanakujibu juu juu huku wakiijua michezo yao.Nilipata bahati ya kuoneshwa matumizi ya laini yangu na Vodacom, hizi huduma tunajiunga wenyewe, mimi mpaka ushaidi nilionywesha maana hapo awali nilikuwa najua ni wizi tu kama wewe
Nakubali kurekebishwa mkuu, im sorry ilikuwa jero kweli.Ungesema tsh 500, hakuna wizara TZ yenye wafanyakazi hata 1M , sasa alitajirika vipi