Wizi kimtandao mchana kweupe VODACOM

UPDATE

Kulingana na mtandao na toleo la VODACOM, ina jumla ya wateja
Approximately 33.4 million
As of December 2025, Vodacom Tanzania has approximately 33.4 million total subscribers. This includes 19.0 million mobile data customers and 31.5 million M-Pesa subscribers.
Vodacom Tanzania
Wateja wa M -Pesa ni Milioni 31.5
Kwa hiyo kimsingi kwa kuwatoza Tshs 100 kila mmoja, wana kwapua kwa wakati mmoja Bilioni 3.15...!!!!
Huu ni wizi wa kutisha.
 
Tuna TCRA HEWA, Wabunge HEWA, Wizara ya Mawasiliano HEWA, na je tuna Serikali HEWA?
 
Mkuu nilijaribu tu kuweka sawa kutokana na experience niliyopitia, so kama unatumiwa text ambazo hukujiunga nazo unaweza kuwashitaki mtandao husika mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…