Wizi kwenye akaunti kwa kutumia simu... Mbunge alizwa!

Wizi kwenye akaunti kwa kutumia simu... Mbunge alizwa!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Mheshimiwa alipigiwa simu na wezi na kuambia simu yake ilikuwa inakaguliwa na asiizime kwa muda khalafu alipoizima akakuta hata namba haifanyi kazi. Alipokwenda vituo vya Airtel akaambiwa mpaka makao makuu Dar ndiyo wanaweza kuifungua. Alipoenda Dar na kuirekebisha akakuta milioni sita kwenye akaunti zimeibwa...................Be very careful na kuruhusu akaunti yako uweze kutoa hela kwa sim ya mkononi.................unawez\a ukajikuta umesafishwa kabisa......

Jisomee........

[h=1]Mbunge alizwa Sh6 milioni benki[/h]
 
Bora kalizwa mbunge,pengine serikali itachukua hatua za kupambana na uhuni huu wa makampuni ya simu na usanii wa mabenk!
 
Huu mchezo unawezwaga sana hasa na watu wa AFRIKA ya MAGHARIBI ni mabingwa wa ku Hack.
 
Pole zake
Ila pia namna ya kugawana na wananchi zile posho ambazo hupewa ata akiwa anakoroma!
 
Back
Top Bottom