Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
huo mfumo unawezekana kweli au ni fx za watu?
Ungeandika "Hack" na wanaofanya huo mchezo wanaitwa "Hackers" na kitendo chenyewe ni "Hacking"Huu mchezo unawezwaga sana hasa na watu wa AFRIKA ya MAGHARIBI ni mabingwa wa ku Huck.
Bongo Bingo.