Wizi malipo Mock mkoa wa Manyara

Wizi malipo Mock mkoa wa Manyara

fisadimpya

Senior Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
191
Reaction score
103
Hii dhuluma kwa walimu zitaisha lini?kwa halmashaur ya wilaya babat afisa taaluma sekondari wilaya amelipwa 270,000/wakuu wa shule wanajiita kamat ya mitihan 240,000.waalimu waliosahisha kwa siku tatu wamelipwa elfu 20,000.

Wengi walitumia nauli hapo toa elf 6 kwa siku 3.waalimu waliotokea kituo hicho 10,000
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana boss
 
Sasa mkuu Kama huwezi kujenga ndoto yako acha wengine wakutumie kujenga ndoto zao.

Mimi ni mwalimu,lakini siwezi kwenda kusimamia mtihani wa mock,siwezi kusahihisha mtihani wa mock Wala kwenda kusimamia mtihani wa taifa,kwa mbali naweza kwenda kusahihisha mtihani wa taifa ,sababu shughuli zangu zinanilipa pesa kubwa kuliko kufanya shughuli nilizozitaja.

Ni aibu kwa mwalimu kulia Lia kisa kalipwa elfu 20,000,si ungekata,
 
Sema hii ndio shida ya walimu. Yani ukishakuwa na hela nje ya kazi basi tena unaanza kuona wanaolalamikia kazi hawafai kupewa ushauri sahihi.

Sasa ww unaposema kuna kazi hufanyi, kwani mkuu wako huwa anakuomba? Kama anakuomba ushukuru maana sehem nyingine hali haipo hivyo. Au unafikiri wote wanaofanya hizo kazi hawana mishe nyingine za kuwapa hela?

Watu wanalalamika kwa sababu mara nyingi wanalazimika kufanya hizo kazi huku malipo ni madogo.
 
Back
Top Bottom