fisadimpya
Senior Member
- Oct 27, 2011
- 191
- 103
[emoji16][emoji16]Adui wa mwalimu ni mwalimu mwenzake.
Sasa mkuu Kama huwezi kujenga ndoto yako acha wengine wakutumie kujenga ndoto zao.
Mimi ni mwalimu,lakini siwezi kwenda kusimamia mtihani wa mock,siwezi kusahihisha mtihani wa mock Wala kwenda kusimamia mtihani wa taifa,kwa mbali naweza kwenda kusahihisha mtihani wa taifa ,sababu shughuli zangu zinanilipa pesa kubwa kuliko kufanya shughuli nilizozitaja.
Ni aibu kwa mwalimu kulia Lia kisa kalipwa elfu 20,000,si ungekata,