Nkarahacha
Member
- Oct 3, 2023
- 17
- 38
Wadau milioni 50 kwenye zimetafunwa na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera na serikali Ipo kimya.
Ona kibanda hiki hata mil 4 hazifiki.
Ona kibanda hiki hata mil 4 hazifiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm na ufisadi ni kama samaki na majiWadau milioni 50 kwenye zimetafunwa na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera na serikali Ipo kimya.
Ona kibanda hiki hata mil 4 hazifiki.
Kwa mapato ya serikali wala si nyingi
Unajifanya hujui kuwa kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake?Waliofanya hii kitu inatakiwa wawe nyuma ya nondo bila hata maswali mengi. Haina haja ya kupoteza tena fedha kufanya uchunguzi. Milioni 50 ziko wapi hapa?
View attachment 2992798
Si mtu ni meeeeee!!!Unajifanya hujui kuwa kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake?
Siyo kwa utawala wa huyu mamaWadau milioni 50 kwenye zimetafunwa na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera na serikali Ipo kimya.
Ona kibanda hiki hata mil 4 hazifiki.
View attachment 2991703