Meragraphics
Member
- Dec 23, 2024
- 37
- 45
Hivi Hawa vibaka wanaotuibiaga kwenye daladala makondakta hawawatambui kwa wakati au ndo Lao moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ma konda wanajua na wanawajua pia.Hivi Hawa vibaka wanaotuibiaga kwenye daladala makondakta hawawatambui kwa wakati au ndo Lao moja
🤣🤣Wapo makonda wema wanawatangazia mapema abiria chunga mzigo wako,Kwa kifupi wnawajua.
Kituko kinakuja pale unapoibiwa na kulazimisha gari liende kituo Cha polisi,abiria mtatengwa makundi matatu,kundi la akina mama,kundi la akina baba ambao mwonekano wao hawawezi iba,kundi la vijana ambao mwonekano wao haijulikani walioga lini.
Kundi la akina mama na Hawa wazee litaruhusiwa waondoke,kosa la kiufundi Hawa wazee Ndo wezi.
Sure, Hawa watu wanajuana Alafu wanajifanya kama hawapo sasa na sisi tutaanza na kuwashushia kipigo makonda then ndo maswali yatafuataKuna mmoja nilimshtukia anazamisha mkono kwenye mfuko wa suruali yangu nikawakiana nae lakini cha ajabu Konda yupo kimya kama hasikii wakati nilitegemea angelifokea na kulishusha njiani lakini yeye yupo buzy. Me nahisi hii ni moja ya miladi yao makonda na madereva.