Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu una hakika na hiyo nyekundu hapo?nadhani kutopata alert inaweza kuwa ni kosa lao.ila kuna mjumbe mmoja hapo juu kasema kuna wizi unaoweza tokana na mitambo.nadhani hapo napo ni muhimu.sio voda tu karibu kila kampuni sasa hivi wizi wanaufanya tena watu wanatajirika mno. (japo sina ushahidi)mfano wale ma programmer waki amua kucheza html code wakaiba tsh 100 ambayo mtu hutokuwa na uchungu kama ambavyo ulivyo fanya wewe pale ubungo. 100 kwa watu 1mil.sawa na 100ml ambazo wakiamua muda wowote wanazipata.
ulifanya makosa ungepiga Vodacom ukaomba wakupe statement yako ya Mpesa, na ungegundua namba ya mwisho kupokea MPesa kutoka kwako ni ipi , na hapo ndo ungerudi sasa pale kwa kishondo, Yn panachimbika hujawahi ona. pole. Togo kuna dada aliwahi kuniibia vocha ,niliichuna vibaya sasa nikaomba msaada akasema ataniwekea then akajiwekea yeye, lol!! achana na namba hii bwana, alikiona cha mtema kuni na kazi akafukuzwa kisa elf 2.
yaani 11,000 tu inakutoa roho, mbona mimi nimeibiwa BLACKBERRY 2 na mademu wa club na wala huwezi kusikia eti nimelalamika kwa mtu. Acha hisia za kimaskini wewe.
yaani 11,000 tu inakutoa roho, mbona mimi nimeibiwa blackberry 2 na mademu wa club na wala huwezi kusikia eti nimelalamika kwa mtu. Acha hisia za kimaskini wewe.