Wizi wa Bank ya CRDB Part II

Wizi wa Bank ya CRDB Part II

Status
Not open for further replies.
Niliwahi kueleza hapa kuwa withdraw fee kwa kila transactions ni wizi mkubwa!! Nimekupa fedha zangu unafanyia biashara bila kunilipa interest then kuchukua fedha zangu unanitoza, withdraw fee!!!

Tatizo c CRDB, KCB, POSTAL BANK, NBC wala nani. Tatizo ni Wizara ya Fedha+BoT. They work politically and not professionally. That's why a lot of scandals their sources being from BoT, State House, & Ministry of Finance and Economics!!
 
Pole sana ndugu, benk zote zina kanuni na taratibu zake ni vema kutafakari kwa kina kabla hujafanya maamuzi ya kufungua a/c benki husika lkn pia kuna haja ya hizi gharama kuainisha katika mkataba kabla Mteja hajajaza fomu. Nawasilisha
 
Jamaa ana hoja. ...bank za nje huwa hazina charges kama unatumia atm machines zao kutoa pesa (mfano kama wewe una account ya crdb na unatumia atm yao kutoa pesa basi hakuna charges)....na kwenye hilo hakuna gharama yoyote ambayo inatokana na utoaji wa pesa, tofauti na mwenye card ya crdb akienda kutoa pesa kwenye atm za nbc.
Kwa kifupi hizi charges ni kumuibia na kumbenesha mzigo mteja wako........kwa wenzetu kulipoendelea kuna atm nyingi tu binafsi ambazo zina charge kwa kila unapotoa pesa lkn unapoingiza card kwenye machines basi machine inakwambia kuwa ina charge then una option ya kuendelea au kutoa kadi yako.

Unapoongelea Benki za nje unaongelea nchi gani? Hebu acha ku generelize kama huna uhakika na unachokisema. Nje kuna nchi zaidi ya mia moja. Unaposema nje unamaanisha nchi gani? Acheni kuwalisha watu sumu
 
Niliwahi kueleza hapa kuwa withdraw fee kwa kila transactions ni wizi mkubwa!! Nimekupa fedha zangu unafanyia biashara bila kunilipa interest then kuchukua fedha zangu unanitoza, withdraw fee!!!

Tatizo c CRDB, KCB, POSTAL BANK, NBC wala nani. Tatizo ni Wizara ya Fedha+BoT. They work politically and not professionally. That's why a lot of scandals their sources being from BoT, State House, & Ministry of Finance and Economics!!

Wewe ndo kichekesho kweli. Eti unasema umewapa Fedha zako wanafanyia biashara wakati mshahara ukiingia hela yote inatolewa sasa benki itatengeneza vipi hela? Kweli humu ndani naona watu wengi ni maandazi. No thinking kabisa katika uwasilishaji wao wa hoja. Mtu anakurupuka tu kuongea anacho jisikia lakini unaona kabisa huo uelewa hakuna. Kama unataka benki itumie fedha zako fungua fixed account ndo hapo utaweza sema wanatumia hela yako. Mtu una ki akaunti cha mshahara amabacho tarehe 15 kipo empty halafu unasema unawapa pesa wazungushe. Watazungusha pesa gani wakati haikai kwenye akauinti. Wao kuweka ATM charges ni kuku discourage ili huiache muda nmrefu wao wapate kuizungusha. ila ukijitia kuichukua wanakuchaji kwa kukutunzia. Acheni hizo fikra za kijamaa.:eyebrows:
 
Jamaa ana hoja. ...bank za nje huwa hazina charges kama unatumia atm machines zao kutoa pesa (mfano kama wewe una account ya crdb na unatumia atm yao kutoa pesa basi hakuna charges)....na kwenye hilo hakuna gharama yoyote ambayo inatokana na utoaji wa pesa, tofauti na mwenye card ya crdb akienda kutoa pesa kwenye atm za nbc.
Kwa kifupi hizi charges ni kumuibia na kumbenesha mzigo mteja wako........kwa wenzetu kulipoendelea kuna atm nyingi tu binafsi ambazo zina charge kwa kila unapotoa pesa lkn unapoingiza card kwenye machines basi machine inakwambia kuwa ina charge then una option ya kuendelea au kutoa kadi yako.

Mkuu inaonekana we ni mbumbumbu wa maswala ya ki benki...taja benki moja ambayo ulitoa pesa (kama ni mteja wa benki nyingine) hakuna makato...hujui kuwa unapofanya transaction kwenye atm nyingine lazima ihusishe either ViSA au MasterCard au Maestro? Hao lazima wachukue mgaowao dogo
 
Mkuu huna uelewa wa Accounting& Finance sijui ni bank teller wa Eduche nn?

Huna exposure ya benki charges nje ya Tz ila unaongoza kwa kupanuapanua domo JI.N.GA wewe.
Hela zangu nyingi ziko benki. Kumbuka standing orders, salary deposit, etc zinatozo zake.

Ndio Tz ina kuku wengi ila ww ni KUKU JIKE aka tetea unasubiri kupandwa tu!!!!
 
Unapoongelea Benki za nje unaongelea nchi gani? Hebu acha ku generelize kama huna uhakika na unachokisema. Nje kuna nchi zaidi ya mia moja. Unaposema nje unamaanisha nchi gani? Acheni kuwalisha watu sumu

Naongelea uingereza. ....na nna miaka kumi hapa London. ...nna account barclays na Halifax(debit cards na credit cards kwa bank zote mbili)
 
Jamaa ana hoja. ...bank za nje huwa hazina charges kama unatumia atm machines zao kutoa pesa (mfano kama wewe una account ya crdb na unatumia atm yao kutoa pesa basi hakuna charges)....na kwenye hilo hakuna gharama yoyote ambayo inatokana na utoaji wa pesa, tofauti na mwenye card ya crdb akienda kutoa pesa kwenye atm za nbc.
Kwa kifupi hizi charges ni kumuibia na kumbenesha mzigo mteja wako........kwa wenzetu kulipoendelea kuna atm nyingi tu binafsi ambazo zina charge kwa kila unapotoa pesa lkn unapoingiza card kwenye machines basi machine inakwambia kuwa ina charge then una option ya kuendelea au kutoa kadi yako.

Ndio maana nimesema afanye research ili aone huko kwenye 'free cash withdrawal' mambo yakoje na kwa nini sio Bongo; halafu anamwaga matokeo kwa wadau wa benki - na hii ndio kazi ya utafiti yaani kuboresha maisha ya watu.
 
Mkuu inaonekana we ni mbumbumbu wa maswala ya ki benki...taja benki moja ambayo ulitoa pesa (kama ni mteja wa benki nyingine) hakuna makato...hujui kuwa unapofanya transaction kwenye atm nyingine lazima ihusishe either ViSA au MasterCard au Maestro? Hao lazima wachukue mgaowao dogo

Kama hujui kaa kimya sawa?...hapa uingereza hakuna bank inayotoza charges kwa kutoa pesa kwenye Atm zao (ila bank zote walikuwa na cash card ambayo ilikuwa haina visa, ambayo ulikuwa na uwezo wa kutoa pesa kwenye atm ya bank husika tuu, kwa sasa hakuna tena cash cards hivyo card zote zina visa na unaweza tumia Atm yoyote bila kuchajia isipokuwa zile za binafsi tu ambazo zinachaji chini ya pounds mbili)
Kwa wanachofanya crdb wizi kwa wateja wao maana hakuna transaction yoyote inayo link na Visa wkt unatumia atm yao ukiwa na card yao, ni sawa tu na ikivyokuwa nbc kabla hawajabadili card zao kuwa visa. ...ilikuwa unatumia kwenye atm zao.
Visa au Mastercard utaihusisha tu pale unapofanya transactions kwenye atm tofauti na za bank yako. ......Pata shule hiyo kijana,
 
Mkuu huna uelewa wa Accounting& Finance sijui ni bank teller wa Eduche nn?

Huna exposure ya benki charges nje ya Tz ila unaongoza kwa kupanuapanua domo JI.N.GA wewe.
Hela zangu nyingi ziko benki. Kumbuka standing orders, salary deposit, etc zinatozo zake.

Ndio Tz ina kuku wengi ila ww ni KUKU JIKE aka tetea unasubiri kupandwa tu!!!!

B-w-e-g-e wewe Nje unaongelea nchi gani? Acha ku generalize mambo kilaza wewe. Finance Finance my a-s-s. Kazi mnaandika andika tu ujinga ujinga mnategemea tutawanyamazia. Je wote wana salary kama wewe mpuuzi? Mnaongea tu kama mnatoa haja kubwa.
 
Naongelea uingereza. ....na nna miaka kumi hapa London. ...nna account barclays na Halifax(debit cards na credit cards kwa bank zote mbili)
Sema uingereza usiseme nje. Uingereza ni nchi moja na usiiitumie kugeneralize. Kama una experience ya Uingereza sema Uingereza wanafanya hivi lakini sio kusema nje wanafanya hivi.
 
Tena hiyo ni nchi karibu zote za ulaya. ...turudi hapo tanzania, bank ya nbc sidhani kama ina utaratibu wa kumchaji mteja wake (nnayo account ya nbc na huwa naitumia nikiwa dar)
 
Nilitoa maada kuhusu “Wizi wa CRDB” na nimesoma reactions za wana JF. Nimepata furaha sana kwa sababu nimegundua wachangiaji wana mawazo tofauti sana. Wengine ni kejeli na wengine wanaona kama wana pesa nyingi kwahiyo hiyo shs. 700/= kwa kila withdraw sio issue. Lakini niseme kwamba mitandao kama hii ya JF ni kusaidia jamii kwa mambo mengi sana mojawapo ni kuelimisha au kukemea.
Sasa baada yaku-sample maoni ya wachangiaji, ninaleta hii hoja upya kama Wizi wa CRDB Part II.
Itabidi nirudi darasani nianze kufundisha upya tena kwa sababu ninaona watu wengine hata hawajui maana ya kusema CRDB ni wezi. Bank inakusanya deposits kutoka kwa wateja ili ifanye biashara na kufanya biashara sio kutoza charges ambazo hazina maana yo yote.

Ledger fee is okay, lakini sio kila withdraw unakatwa pesa. CRDB imeshindwa hata kuvuka mipaka na kwenda kufanya biashara inakalia kuwanyonya maskini wa kitanzania. Eti CRDB ina tawi nchini Burundi, kila mtu anajua uchumi wa Burundi is very poor, wananchi wake is very poor, huko kwa maskini ndiko CRDB inafungua matawi. Mbona wasiende Kenya, Uganda, Rwanda au hata Kusini mwa Afrika? Jibu ni moja, hawajui biashara za ki-bank, wao wamekalia kukata watu fedha za wizi.

Halafu mwisho wa mwaka wanasema wamepata faida ya billions of money, from what businesses? Kwahiyo hata nyie watetezi wa CRDB ni vizuri mjue kuwa CRDB hawafanyi biashara ya ki-bank, biashara ya ki-bank sio kuishi kwa kukata depositors so many charges, biashara ya ki-bank ni kuchukua deposits kutoka kwa wateja then unatoa mikopo, which in turn will give you interests ambayo sasa ni income yako.
Ndugu watanzania wakati ni sasa, hebu tuamke tuseme unyonyaji sasa basi. Hapa tunazungumzia CRDB lakini ninajua Mabank yote mchezo ni huu huu. Huko Kenya, ukiwa na tabia ya akina CRDB wateja wanaondoka. Hebu angalia bank za Kenya zilivyosambaa Tanzania utafikiri ni kama m-pesa, huoni KCB, Equity, CBA, NIC, nyingi tu. Nenda Kenya huoni bank yo yote ya ki-bongo. Hapa wa-TZ tutasema wakenya ni wabaguzi, sio kweli kabisa, ukweli ni kuwa bank za ki-bongo hazijui biashara za ki-bank full stop. Tuache kulia kulia kama watoto wa fisi, miaka 50 ya uhuru kilio ni kile kile.
Hao wanaosema, eti kama unaona CRDB inaiba hamisha pesa yako, wana mawazo mgando. Kwani ukiwa na mke au mume mwenye tabia inayoenda kinyume unamuacha? Basi utaoa au kuolewa kila siku. Let us fight from within. CRDB is a public bank, hakuna wa kuondoka ila tutamulika sera zao za wizi na uvivu wa kufikiri. Nao Kimei ame-overstay and he must leave. He has out-lived his ideas. Hana jipya, aondoke. “Kimei Must Go”. “Kimei Must Go”. “Kimei Must Go”. “Kimei Must Go”. “Kimei Must Go”.
Haiwezekani, CRDB wanasema kila mwaka wanapata faida in billions of money kumbe ni kuwakata wateja wao charges tena za kutoa pesa kwenye ATMs. Wezi wakubwa hawa.
Natoa Hoja!
Sooo what???
 
Ni bank gan ambayo eti utachukua hela, utacheki salio halafu usikatwe? Hiyo itakuwa bank ya baba yako! Acha chuki binafsi CRDB wapo vizuri, huwezi fananisha na bank km NMB. Mimi nina accounts CRDB na NMB but I real apreciate huduma za CRDB kuliko NMB
Tembea uone.....
 
Mkuu inaonekana we ni mbumbumbu wa maswala ya ki benki...taja benki moja ambayo ulitoa pesa (kama ni mteja wa benki nyingine) hakuna makato...hujui kuwa unapofanya transaction kwenye atm nyingine lazima ihusishe either ViSA au MasterCard au Maestro? Hao lazima wachukue mgaowao dogo
Hebu soma tena vizuri alichoandika huyo jamaa.
 
B-w-e-g-e wewe Nje unaongelea nchi gani? Acha ku generalize mambo kilaza wewe. Finance Finance my a-s-s. Kazi mnaandika andika tu ujinga ujinga mnategemea tutawanyamazia. Je wote wana salary kama wewe mpuuzi? Mnaongea tu kama mnatoa haja kubwa.

Una mimba ya CRDB nn? Kitimoto mjamzito ww.
 
nigeria ni uchumi namba 1 afrika lankini ina benki chache kuliko tanzania, ambayo ni uchumi namba 12 afrika. usifikiri benki zinafunguliwa tu hovyo-hovyo! you need economic education.

soma List of banks in Nigeria na List of banks in Tanzania

Kuna taasisi za fedha ambazo sio mabenki na zinato huduma nzuri kwa wananchi.Hata hvyo bank zilizopo ni kubwa na zenye tija.Hapa utakuwa na idadi kubwa ya mabenki lakini ukiunganisha mitaji yao haitoshi wa benki hata moja Nigeria.Unaongopa pia kusema Tz ipo namba 12 kwa uchumı mkubwa Afrıka.
 
Mleta mada ana kitu kimoja nimekiona either hawezi kujieleza au hana ufahamu wa kujieleza......au hajui sector anayoizungumzia....
tupo tayari kukusikiliza but with data and analysis....
PITIA SOMO LA RESEACH KWENYE GOOGLE
NO RESEACH NO RIGHT TO SPEAK
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom