V Vitus mkumbee Member Joined Nov 1, 2010 Posts 22 Reaction score 1 Nov 3, 2010 #1 Mteketa ametangazwa mshindi wa kilombero ila mungu yupo na adhabu yao naona mungu ameshaipanga ole wao
Mteketa ametangazwa mshindi wa kilombero ila mungu yupo na adhabu yao naona mungu ameshaipanga ole wao
G Galilee Galileo Member Joined Nov 3, 2010 Posts 30 Reaction score 0 Nov 3, 2010 #2 Vitus mkumbee said: Mteketa ametangazwa mshindi wa kilombero ila mungu yupo na adhabu yao naona mungu ameshaipanga ole wao[/QUOTE Tukubali umashuhuri wa Kikwete umekwisha kwa sasa anafanya undava kujiwekea heshima kwa kuzuia CHADEMA wasishinde tena kiti chochcote Click to expand...
Vitus mkumbee said: Mteketa ametangazwa mshindi wa kilombero ila mungu yupo na adhabu yao naona mungu ameshaipanga ole wao[/QUOTE Tukubali umashuhuri wa Kikwete umekwisha kwa sasa anafanya undava kujiwekea heshima kwa kuzuia CHADEMA wasishinde tena kiti chochcote Click to expand...
nyambari JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 355 Reaction score 171 Nov 3, 2010 #3 sasa chadema mbona walisema wamechukua jimbo la kilombero wekeni matokeo ya uhakika hatutaki ubabaishaji nyie vipi au ndo walewale akina bunduki
sasa chadema mbona walisema wamechukua jimbo la kilombero wekeni matokeo ya uhakika hatutaki ubabaishaji nyie vipi au ndo walewale akina bunduki