Elections 2010 Wizi wa ccm

Elections 2010 Wizi wa ccm

Vitus mkumbee

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
22
Reaction score
1
Mteketa ametangazwa mshindi wa kilombero ila mungu yupo na adhabu yao naona mungu ameshaipanga ole wao
 
Mteketa ametangazwa mshindi wa kilombero ila mungu yupo na adhabu yao naona mungu ameshaipanga ole wao[/QUOTE


Tukubali umashuhuri wa Kikwete umekwisha kwa sasa anafanya undava kujiwekea heshima kwa kuzuia CHADEMA wasishinde tena kiti chochcote
 
sasa chadema mbona walisema wamechukua jimbo la kilombero wekeni matokeo ya uhakika hatutaki ubabaishaji nyie vipi au ndo walewale akina bunduki
 
Back
Top Bottom