McCain
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 1,169
- 517
Juzi nimepeleka mgonjwa wangu hospital nilifika kwa Dr. Nikamweleza kinachomsumbua mgonjwa nikaandikiwa dawa kwenda dirishani dawa hakuna. Miongoni mwao kuna muuguzi anaduka la dawa akaniambia hizo dawa ninazo njoo nyumbani badae nilivyoenda kweli dawa nilipata ila niliuziwa dawa zenye nembo ya bohari kuu ya dawa MSD si Mara ya kwanza siku ya kwanza aliniuzia ORS ikiwa na MSD.
NAOMBA USHAURI WENU KAMA NIKUMPELEKA KWA UMMY MWALIMU OR KWA SIZONJE
NAOMBA USHAURI WENU KAMA NIKUMPELEKA KWA UMMY MWALIMU OR KWA SIZONJE