Wizi wa dawa za umma/serikali, nikamripoti?

McCain

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
1,169
Reaction score
517
Juzi nimepeleka mgonjwa wangu hospital nilifika kwa Dr. Nikamweleza kinachomsumbua mgonjwa nikaandikiwa dawa kwenda dirishani dawa hakuna. Miongoni mwao kuna muuguzi anaduka la dawa akaniambia hizo dawa ninazo njoo nyumbani badae nilivyoenda kweli dawa nilipata ila niliuziwa dawa zenye nembo ya bohari kuu ya dawa MSD si Mara ya kwanza siku ya kwanza aliniuzia ORS ikiwa na MSD.

NAOMBA USHAURI WENU KAMA NIKUMPELEKA KWA UMMY MWALIMU OR KWA SIZONJE
911a00e0ab8728d6eb1fef202c135bef.jpg
 
e63330b256d9c7b044fddac3ac035789.jpg
 
Hapa kazi tu maadamu mkono uende kinywani
 
Unauziwa mali yako tena bei juu
 
Mwenzako huyo hapo kapeleka mashitaka katumbuliwa yeye...we umeshanunua dawa meza upone uendelee kutafuta kodi ya watu viwanda vijengwe
Acha kumwambia mwenzako maneno ambayo kiuhalisia akiyafuata atafanya watu waendelee kupata madhara ambayo nimakubwa zaidi,huoni mwananchi huyo asiporipoti kuna mwingine atafika na atakosa dawa kumbe zimeibiwa zimehifadhiwa kwenye nyumba za wauguzi,waganga pamoja na madaktari?
 
Kwa hiyo kwa kuonesha tu hilo kopo ndo umemtia hatiani? Je,kama ulipata kwingineko huko? Hizo ni dawa ambazo kila mhudumu wa famasi lazima huchukua kwa ajili ya familia yake kwa emergence. Huwezi kumtia hatiana kwa dizaini hiyo.
 
Shukru Mungu ulipata dawa tena kwa bei poa. Songa mbele aacha mambo ya kizamani.
 
Nenda karipoti kwaajili ya kumsaidia huyo mtumishi kuacha hiyo tabia,vilevile utakua umesaidi wagonjwa ambao hulipa kodi kama wewe nakutegemea hizo kodi kununua dawa ambazo zinakosekana katika vituo vya afya.Ukimripoti utakua umefanya jambo kubwa sana kwani kunawenzalo wengine wamekufa kwakukosekana dawa ambazo maranyingi zinakua zomeibiwa nawatumishi wasio waaminifu.
 
mkuu kasema fanyeni kazi hafuatilii umbea wa mitandaoni na huu ndio umbea wenyewe hebu fanya yako bna kuna wengine wametapeli magari with vivid information watu wanapeta sembuse huyo hebu kafanye kazi acha umbea
 
Nenda karipoti kwaajili ya kumsaidia huyo mtumishi kuacha hiyo tabia,vilevile utakua umesaidi wagonjwa ambao hulipa kodi kama wewe nakutegemea hizo kodi kununua dawa ambazo zinakosekana katika vituo vya afya.Ukimripoti utakua umefanya jambo kubwa sana kwani kunawenzalo wengine wamekufa kwakukosekana dawa ambazo maranyingi zinakua zomeibiwa nawatumishi wasio waaminifu.
Wacha umbea na majungu ya mitandaoni. Mwache nesi apige kazi. Huyo sio mtumishi asiye mwaminifu, ni KATUMISHI KASIKO KAAMINIFU
 
Acha kumwambia mwenzako maneno ambayo kiuhalisia akiyafuata atafanya watu waendelee kupata madhara ambayo nimakubwa zaidi,huoni mwananchi huyo asiporipoti kuna mwingine atafika na atakosa dawa kumbe zimeibiwa zimehifadhiwa kwenye nyumba za wauguzi,waganga pamoja na madaktari?
My friend, signature yako inasemaje?

If that is so, kuna determination ya kuondoa watumishi wasio waaminifu au kuondoa watumishi waaminifu?
 
Umeshindwa kuripoti jambazi kubwa li bashite unaparamia ka nesi.
 
Acha kumwambia mwenzako maneno ambayo kiuhalisia akiyafuata atafanya watu waendelee kupata madhara ambayo nimakubwa zaidi,huoni mwananchi huyo asiporipoti kuna mwingine atafika na atakosa dawa kumbe zimeibiwa zimehifadhiwa kwenye nyumba za wauguzi,waganga pamoja na madaktari?
Wauguzi wanaroho mbaya sana
 
Kamripoti au andika majina yake humu yote na hospitali.

Hapa kazi tu
 
Nenda karipoti kwaajili ya kumsaidia huyo mtumishi kuacha hiyo tabia,vilevile utakua umesaidi wagonjwa ambao hulipa kodi kama wewe nakutegemea hizo kodi kununua dawa ambazo zinakosekana katika vituo vya afya.Ukimripoti utakua umefanya jambo kubwa sana kwani kunawenzalo wengine wamekufa kwakukosekana dawa ambazo maranyingi zinakua zomeibiwa nawatumishi wasio waaminifu.
Nianzie wapi?
 
Back
Top Bottom