Hatushiriki chaguzi Kwa tume ya ccmTatizo la wapinzani huwa kama kondoo wenye kujipeleka kwenye kundi la simba kuliwa au mbwa kujipeleka kwenye mdomo wa chatu bila kujitetea. Acheni kulalamika tu mna mbinu gani za kufuatilia na kuzuia msiibiwe kura. Msisubiri hisani ya CCM eti wawape ushindi kwenye sahani. haiwezekani. wakeup men
Tanzania vipo vyama kibao vikijitoa viwili vitatu uchaguzi tutafanya na utapendeza.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZIHatushiriki chaguzi Kwa tume ya ccm
CCM wana mbinu 36, mpk sasa zimetumika mbinu 6 tu.Uchaguzi ujao 2025 hatuibiwi kura na CCM ( chama Cha majambazi ) tunaweka V.A.R πππππππ
Hawana mbinu ni sisi wananchi hatujaamua tu kuamkaCCM wana mbinu 36, mpk sasa zimetumia mbinu 6 tu.
Msingi wa umasikini wa taifa umejengeka kwenye fikra.Hatushiriki chaguzi Kwa tume ya ccm
Tushauri tufanyeje? Kama ni wewe ungefanyaje! Halafu siyo kila anayepiga kura anapigia chama. Nahisi bado umelala na aliyekupulizia dawa ni CCM. Kura ni uchaguzi. Nakuchagua ni kubagua kati ya unachokihitaji na usichokihitaji hata kama vyote unavipenda. Huwezi kunilazimishe eti nimchague wa CCM, CUF, ACT au Chadema eti Kwa sababu ni chama changu huku nikijua hawezi kufikisha mawazo yangu kunakohusika maana tunachagua wawakilishi siyo viongozi tu. Kwahiyo Kura niliyopiga nina haki kujua imefanya nn imeenda wapi. Kama zimehesabiwa kihalali, hata kama niliyemchagua hajashinda. Kwa uelewa wako wewe unachagua chama ndiyo maana kila mwaka tunapata watu wa kwenda kusinzia bungeni. Kuna wabunge tangu wameenda bungeni miaka 3 na nusu iliyopita huenda wamechangia kila Kikao mara 2. Matatizo yetu tunasemewa na wabunge majirani. Tulia ujifunze maana ya kupiga kura (kuchagua)Tatizo la wapinzani huwa kama kondoo wenye kujipeleka kwenye kundi la simba kuliwa au mbwa kujipeleka kwenye mdomo wa chatu bila kujitetea. Acheni kulalamika tu mna mbinu gani za kufuatilia na kuzuia msiibiwe kura. Msisubiri hisani ya CCM eti wawape ushindi kwenye sahani. haiwezekani. wakeup men