ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Ukiangalia kwa undani, CCM na serikali yake kila kitu kinachohusu wananchi wanataka watumie dola na ubabe kifanyike, wananchi wanajua kabisa CCM kupitia serikali wanaiba kura, na kwasababu ccm inalazimisha watumishi wa serikali kuwa wao ni waajiriwa wa CCM hivyo lazma kiwatumikie, Vivyo hivyo CCM inaamini kuwa wanannchi wote wa Tanzania na Zanzibar ni Mali yao binafsi na sasa wanataka kutulazimisha uchaguzi ufanyike na tupige kura, wanafanya na wanaongea hivyo kwasababu wanapolisi, mimi 2020 sikupiga kura mana kura zilishapigwa.
Sasa Kuna maovu ya Covid 19, ya kulazimishiwa ubunge, hapa kuna mawili mimi naamini kabisa wa kwanza kumlaumu kwenye hili ni CCM kutumia mabavu, pesa ili kuvunja utaratibu, kama ccm ingekuwa inafata taratibu kwakuwa ndo chama dola hawa wasingekuwa wabunge, na sisi watanzania tuna umasikini wa hali ya juu hivyo CCM inatumia umasikini na ujinga wetu, na inatumia Dola na mahakama kupindisha mambo kwa lazma, haya mambo lazma yakome.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hivyo sitaki kuwalaumu sana Covid 19, na hata wao CCM sio kila mmoja anakubaliana na tukio la Covid , badi ndani ya CCM kuna kikundi ndo kinaendesha nchi kikundi cha watu wachache ambacho Pole pole anakiita Futungo, hicho kikundi hata kesho kikisema Rais Hafai anatoka anaachia, na hao ndo wanahakikisha CCM inabaki madarakani kwa vyovyote vile ili kulinda maslai yao. So hii si tena nchi ya wananchi , kuna kundi la watu wachache ndo wanaendesha hii nchi, na inawezekana hao ndo wamehusika na kifo cha Magufuli kwani magufuli toka ameingia amekuwa akipambana na kikundi hichi.
Maovu ya wizi wa kura, mahakama kupindisha uratatibu, Polisi kuonea watu haya yote yanatokana na CCM na sio kwamba yanasababishwa na uongozi mbaya haya yanafanywa na CCM wenyewe kabisa kwa makusudi.
Mwaka 2020 Zimetumika bilioni 300 kufanya uchaguzi, uchaguzi ambao haukuwa uchaguzi ulikuwa maigizo, bora muwe na chama kimoja tujue moja kuliko kufanya maigizo kwa pesa za watanzania , Huyu mzee Wassira nashindwa kumuelewa yaani anaona kinachofanyika katika chaguzi ni sawa, mzee muasisi wa nchi hii, si angekaa kimya kuliko kusaport ujinga, hawa kina makala , happyi, naweza kusema hawaelewi mambo ya nchi ila mzee wasira kushabikia uwizi wa kura ni jambo la Ajabu, hata kikwete sijawahi kumuona anafanya hivyo hadharani ndo wazee wanatakiwa kuwa hivyo