Nashukuru kwa taarifa mkuu. Pia chukueni tahadhari na kituo cha mafuta kilichopo Mbezi mwisho Morogoro road. Ni wezi balaa,anayetaka ushahidi awaulize ma driver
driver tax wa pale Mbezi mwisho ambao wako kama mita 100 lakini hawajazi pale. Kuna mhudumu mmoja ana kipara muda wote na mwingine kama mmasai ni wezi balaa. Ndio wanawaongoza wenzao kwa wizi oale wakiwamo wanawake. Ukiwa unawekewa mafuta,ukibaki kwenye gari umeumia. Walishaniibia mara nyingi ndio maana nimetoa ushuhusa huu kwa uchungu!