Mimi nilishasign out kwa hivi vituo vya mafuta vya camel na hawa oilcom ni wezi wazuri sana
Nashukuru kwa taarifa mkuu. Pia chukueni tahadhari na kituo cha mafuta kilichopo Mbezi mwisho Morogoro road. Ni wezi balaa,anayetaka ushahidi awaulize ma sriver tax wa pale Mbezi mwisho ambao waoo kama mita 100 lakini hawajazi pale. Kuna mhudumu mmoja ana kipara muda wote na mwingine kama mmasai ni wezi balaa. Ndio wanawaongoza wenzao kwa wizi oale wakiwamo wanawake. Ukiwa unawekewa mafuta,ukibaki kwenye gari umeumia. Walishaniibia mara nyingi ndio maana nimetoa ushuhusa huu kwa uchungu!
Hapohapo Sanene wanachofanya ni anapotoka mtu aliyekutangulia wanakuwa kama wanarejesha ile pampu sehemu yake lakini zile namba za mtu aliyepita zinakuwa hazijafutika so kama mtu alopita kaweka mafuta ya 5,000, wewe utaanza wekewa mafuta kuanzia hapo. ukinunua mafuta ya 10,000 utakuwa umepata ya 5,000. Mchezo huu haswa hufanya pindi itokapo jazwa pikipiki. utaunganishiwa juu kwa juu. Nilizubaa siku moja nikaanzishiwa kwenye 5,000. Leo nimefika asubuhi alitaka kuniunganishia kwenye 3,000 ilipotoka bodaboda nikamtolea macho kwenye mashine mpaka anarejesgha ile pump ilikuwa inasomeka 3,000. Alipoona namtolea macho akaanzisha kwenye 00:00. So be careful na hapo Saanene kituo kipya.Hivi huwa wanafanyaje huo wizi wao! Da huenda hata mimi wameshaniliza katika gari yangu.
ilikuwaje kiongozi tuambiane a b c's zote!!!Kwataarifa tu hata pale shell iliyo karibu namlimani city uwe makini mno!!Tena alietaka kunijeruhi nimwanamke akaona nimestuka akajidai hakuangalia mashine vizuri.
Ebana huoni kama unawahalibia jama kaz huwez jua pengne hajui hyo isue au gal zenu mbovu?
Mkuu hayajakukuta na omba yasikukute
Mimi sidhani kama ni kweli !
Kuna wakati unapochelewa kuweka mafuta yanatumika mafuta ya reserve, hivyo ukija kuweka taa ya mufuta yaweza kuzima kwa muda mfupi, au isizime kabisa.
Otherwise binafsi huwa nawaamini sana Camel, na pia kwa aina ya mashine za mafuta ni ngumu kwa wafanyakazi kuiba.
Itakuwa ulichelewa sana kuweka mafuta hivyo taa ikazima kwa muda mfupi !
.......samahani lakini !
Kama ni Total itakua ni noma nilishawahi weka lita 10 hivi kufika ilala kitaa kinawaka tu..!!Kwataarifa tu hata pale shell iliyo karibu namlimani city uwe makini mno!!Tena alietaka kunijeruhi nimwanamke akaona nimestuka akajidai hakuangalia mashine vizuri.