Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
we hata unajielew kweli. kuna tofauti kubwa sana kati yaWaafrika bhana IQ ndogo sana, sasa unatetea nini? Badala ya kukubali kwamba kuna tatizo unaanza kulinganisha corruption ipi ni zaidi ya nyingine?!
Waafrika bhana IQ ndogo sana, sasa unatetea nini? Badala ya kukubali kwamba kuna tatizo unaanza kulinganisha corruption ipi ni zaidi ya nyingine?!
Hehe, kama shida ya Afrika ni IQ ndogo, basi mfano mzuri utakua ni wewe! umeona nikitetea hapo? mimi nemejaribu tu kuelezea shida ni nini haswa, ukisema wizi wa makontena, hio inaeza maanisha makontena ya watu yanaibiwa na watu wengine ambayo si ukweli. hapa shida ni kwamba watu wanatumia njia za uongo kupitisha kontena zao, hio ni kitu tofati kabisa.....
tatizo la waafrika ni watu kama nyinyi, wale wanaojifanya wako na jibu la kila swali la dunia, wanajua kila kitu... kabla utatue jambo lazma ujue shida nini haswa (definition of the problem) ukimaliza ndo unatafuta suluhisho, usianze kutoa suluhisho kabla hujajua shida ni ghani, sasa umekazana nikubali shida wakati watu hawajaelewa shida ni ipi haswa.... nkt