Wizi wa masega kwenye gari

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Salama wandugu
Hivi Watanzania mbona watu ajabu ajabu Sana na majizi Sana???????? ,kwa Sasa wanaanza wizi wa masega kwenye gari kwa ambao hamfahamu masega ni vitu vinavyosaidia gari kutumia mafuta kidogo na inaongeza speed ya gari yakitolewa ndio utaona gari unakanyaga mafuta lakini haikimbii mwisho inakuwa inatetemeka tu
 
Aloo hiyo kitu inaibiwa balaa.Tahadhari epuka gereji za mchongo.Pia kila ukipeleka gari yako mwambie fundi mkuu kuwa gari yangu nimeileta ikiwa kamili sitaki matatizo na mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…