Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Tufahamishwe hizi mita zinazoibwa hutumika kwa ajili nini tena?
Kama mamlaka husika hawawezi kuzilinda kwa matumizi mengine kwa nini zifungwe nje?
Mamlaka za maji wanawajibu wa kutafakari na kuzima kabisa matukio ya wizi wa mita za maji.
Wananchi hawawezi kuwa walinzi wa mali zenu. Wenzenu Tanesco mbona hawaibiwi mita? 😂.