Wizi wa mita za maji ni janga jipya Dar na Pwani. Nani analipa fidia?

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Tufahamishwe hizi mita zinazoibwa hutumika kwa ajili nini tena?

Kama mamlaka husika hawawezi kuzilinda kwa matumizi mengine kwa nini zifungwe nje?

Mamlaka za maji wanawajibu wa kutafakari na kuzima kabisa matukio ya wizi wa mita za maji.

Wananchi hawawezi kuwa walinzi wa mali zenu. Wenzenu Tanesco mbona hawaibiwi mita? 😂.
 
Kuna nyingine zina madini Ya Shaba haziwezi kua salama hata zifungwe chooni
 
Huu wizi ulitamalaki sana mbeya kama miezi mitatu nyuma. Yaani unaamka asubuh mtaa mzima mita zimeibwa.
 
Tupeane mbinu za kufanya ili wasituibie maana mtaani kwangu juzi kuna mama mmoja kaibiwa mita yake ya maji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…