KERO Wizi wa mita za maji washamiri Mbweni Teta, DAWASA wapo kimya

KERO Wizi wa mita za maji washamiri Mbweni Teta, DAWASA wapo kimya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mita zikiibwa wanapeleka wapi wakati zinakuwa na namba za usajili za mmiliki!
 
Kuna mahali nimeipata Jana nikakuta wameitisha mkutano wa mtaa wanajadili hii ishu!

Jamaa wanaiba wanapeleka wapi?
 
Yaan shida tupu kwa kwel?

Hata huku Mbezi Luis uizi umeshamiri kwa kasi sana.
 
Back
Top Bottom