A Anonymous Guest Jul 22, 2024 #1 Kumekuwa na wizi wa mita za maji maeneo ya Mbweni Teta kwa kasi sana na hakuna jitihada yoyote ya uchunguzi inayofanyika na DAWASA. Pia soma ~ Albert Chalamila: Sijaridhishwa na hiki mlichofanya DAWASA, pia wanaoiba Mita za Maji washughulikiwe
Kumekuwa na wizi wa mita za maji maeneo ya Mbweni Teta kwa kasi sana na hakuna jitihada yoyote ya uchunguzi inayofanyika na DAWASA. Pia soma ~ Albert Chalamila: Sijaridhishwa na hiki mlichofanya DAWASA, pia wanaoiba Mita za Maji washughulikiwe
Papaa Mobimba JF-Expert Member Joined Jan 27, 2018 Posts 882 Reaction score 3,337 Jul 24, 2024 #2 Mita zikiibwa wanapeleka wapi wakati zinakuwa na namba za usajili za mmiliki!
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jul 24, 2024 #3 Waibaji wanatoa huko huko idara husika
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jul 24, 2024 #4 Papaa Mobimba said: Mita zikiibwa wanapeleka wapi wakati zinakuwa na namba za usajili za mmiliki! Click to expand... Kenya
Papaa Mobimba said: Mita zikiibwa wanapeleka wapi wakati zinakuwa na namba za usajili za mmiliki! Click to expand... Kenya
TUKANA UONE JF-Expert Member Joined Jan 3, 2018 Posts 2,345 Reaction score 6,970 Oct 27, 2024 #5 Kuna mahali nimeipata Jana nikakuta wameitisha mkutano wa mtaa wanajadili hii ishu! Jamaa wanaiba wanapeleka wapi?
Kuna mahali nimeipata Jana nikakuta wameitisha mkutano wa mtaa wanajadili hii ishu! Jamaa wanaiba wanapeleka wapi?
Carina Senior Member Joined Jan 4, 2011 Posts 194 Reaction score 70 Jan 12, 2025 #6 Yaan shida tupu kwa kwel? Hata huku Mbezi Luis uizi umeshamiri kwa kasi sana.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jan 12, 2025 #7 Kilimanjaro pia zinapitiwa mbaya