SoC04 Wizi wa mtandaoni na jinsi ya kuzuia

SoC04 Wizi wa mtandaoni na jinsi ya kuzuia

Tanzania Tuitakayo competition threads

BARAKAS SANGA

New Member
Joined
May 13, 2024
Posts
3
Reaction score
2
Ili kupunguza uwizi kwa njia ya mtandao wa tuma kwa namba hii ni vyema Serikali kwa kushirikiana na kampuni za mawasiliano kuja na program maalum ya kuwa na limit ya umbali wa kutuma fedha lkn pia kumtaka muhusika kuingiza pia hata NIN ya mtumiwaji inaweza kupunguza utapeli na kuwa na Tanzania tuitakayo.
 
Upvote 3
Daah, aani tuendelee kujiongezea taabu tu.

Mi nadhani sheria zikizingatiwa wakati wa usajili tatizo litaisha. Maana kila laini itakuwa na NIN na bayometrikoa za mtu pekee. So itakapotumika vibaya atadakwa chaaap tu.
 
Back
Top Bottom