Ili kupunguza uwizi kwa njia ya mtandao wa tuma kwa namba hii ni vyema Serikali kwa kushirikiana na kampuni za mawasiliano kuja na program maalum ya kuwa na limit ya umbali wa kutuma fedha lkn pia kumtaka muhusika kuingiza pia hata NIN ya mtumiwaji inaweza kupunguza utapeli na kuwa na Tanzania tuitakayo.
Mi nadhani sheria zikizingatiwa wakati wa usajili tatizo litaisha. Maana kila laini itakuwa na NIN na bayometrikoa za mtu pekee. So itakapotumika vibaya atadakwa chaaap tu.