Wizi wa Mtandaoni umekithiri sana, ndugu yangu alinusurika. Weka kisa chako hapa kuokoa mwingine atakayetaka kutapeliwa kama wewe

Pole sana ulitapeliwa vipi haujasema ulitumaje Pesa au uliwapa Mkononi?
Mmoja nilituma kwa namba ya simu alikuwa anauza vitu vya mtumba na mwingine nilituma kwa crdb bank anaitwa Vee Thriller … huyu wa pili ni danadana mpaka kesho mzigo hajadeliver
 
Pole sana
 
Habari wanajamvi,

Utapeli na wizi wa Mitandaoni kwa kweli umekithiri sana jamani, yaani kuna ndugu yangu kidogo aibiwe na hawa watu. Ukweli ni kwamba wizi huu pia hutegemea zaidi bahati ila wengi sana wanaumia na wizi huu. Ngoja niwape kisa kilivyokuwa;

Nina kaka yangu mwenye mke na mtoto anayesoma darasa la 3. Siku moja akiwa kazini alipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni Mwalimu wa Mtoto na kumwambia kuwa mtoto wake ameanguka shuleni na kupelekwa hospitali hivyo anatakiwa kuchangia fedha kiasi cha TSZ 80,000/- kwa ajili ya kufungua faili na kumuona daktari.

Kilichomfanya amini ni kwa sababu mtu yule alitaja jina la mtoto wake la kweli na kutaja shule ya kweli anayosoma mtoto huyo (Baadaye tulihisi taarifa hizo tapeli alizipata katika mtandao wa Facebook kwenye akaunti ya Kaka ambapo kuna namba ya simu ya Kaka na huwa anatabia ya kumposti mwanaye na mara kadhaa ametaja shule anayosoma mwanaye).

Baada ya kupokea simu hiyo alimtafuta mke wake, aliyekuwa nyumbani lakini simu yake haikupokelewa pia akamtafuta dada (Msaidizi wa kazi za ndani) naye hakupokea simu. Lengo la kuwatafuta ni kutaka kujua kama wamepata taarifa yoyote. Kutokupatikana kwao kulimfanya Kaka awaze na kufikiri kweli kuna shida ndio maana Mke wake wapokei simu kumbe mke wake na dada wote hawana hili wala lile, wameacha simu ndani na wanashughulika nje ya nyumba

Wakati bado akiwa amechanganyikiwa na kuanza kutafuta hela (hakuwa nayo kwa simu) ili atume na kuongea na wenzake kazini kwamba amepata dharura inabidi kwenda nyumbani, mwezake mmoja ndio alimwokoa na kumfanya asitume fedha hiyo. Mwenzake huyo alimwambia, siku hizi wizi ni mwingi kwanini badala ya kutuma fedha usifike kabisa pale hospitali kuona kinachotokea? Maana hawataacha kumtibu wakiambiwa mzazi unaaenda. Lakini pia alimuuliza hauna hata namba ya simu ya Mwalimu kumuuliza kama kuna shida yoyote?

Hapo ndio akili sasa zikaanza kumkaa sawa na kuanza kutafuta namba za Walimu na kuipiga namba moja wapo na kupata taarifa kuwa mwanaye yupo tu shuleni na anaendela na masomo kama kawaida.

Sasa nawaza kama asingekuwa na mtu karibu au angekuwa na fedha kwenye simu, angekuwa ameshatapeliwa.

Ushauri wangu: Ni vema kuwa waangalifu na makini na hawa matapeli jamani, na tusiweke taarifa zetu sana kwenye mitandao ya kijamii, kwani wanaweza kuzitumia vibaya.

Karibu tushikishane hapa namna ulivyotapeliwa au ulivyotaka kutapeliwa mtandaoni, itasaidia kuokoa watu wengine
Mmoja nilimjibu nakuja shuleni hapo akakata simu
 
Nakumbuka kwaka wa juzi nipo zangu ofisini sasa jamaa yangu siku hiyo hakutokea kazini,sasa kuna mtu alileta pesa yake ndogo tu ya 30,000 nikaipokea.

Mimi huwa na desturi moja ninapotaka kutuma hela lazima mtu nimuulize kwanza,maana wengi wanakopa hivyo unaweza ukatuma kwenye laini ya mkopo ukamkwamisha.

Jamaa alikuwa na tigo,voda na airtel,sasa nikawa nampigia simu ili nimueleze kwamba nimepokea mzigo wake na niutume kwa laini gani.

Nimepiga sana hapokei,ndio nikatuma sms nikimuuliza "FEDHA YAKO NITUME KWA LAINI IPI""???huwezi amini kitendo cha sekunde 10 ikaingia sms tuma humu???

Nilichofanya sikutuma kabisa hela nikaondoka zangu,yaan kwa style ile mapema tu nilikuwa napigwa
 
Angemuuliza ni hosipitali gani, akitaja wewe mwambie nampigia daktari wangu pale amsaidie.
Wazo hilo ni jema, lakini hawezi kulipata muda huo kabananishwa kutuma hela.

Mawazo hayo humjia mtu baada ya utapeli kufanyika, ndiyo hapo huanza kuwaza na kupata mbinu za kukwepa utapeli wakati tayari kitendo kishapita.
 
Hii nchi mtu kuwa makini mpaka jambo limtokee alione yeye 1 kwa 1
 
Habari wanajamvi,

Utapeli na wizi wa Mitandaoni kwa kweli umekithiri sana jamani, yaani kuna ndugu yangu kidogo aibiwe na hawa watu. Ukweli ni kwamba wizi huu pia hutegemea zaidi bahati ila wengi sana wanaumia na wizi huu. Ngoja niwape kisa kilivyokuwa;

Nina kaka yangu mwenye mke na mtoto anayesoma darasa la 3. Siku moja akiwa kazini alipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni Mwalimu wa Mtoto na kumwambia kuwa mtoto wake ameanguka shuleni na kupelekwa hospitali hivyo anatakiwa kuchangia fedha kiasi cha TSZ 80,000/- kwa ajili ya kufungua faili na kumuona daktari.

Kilichomfanya amini ni kwa sababu mtu yule alitaja jina la mtoto wake la kweli na kutaja shule ya kweli anayosoma mtoto huyo (Baadaye tulihisi taarifa hizo tapeli alizipata katika mtandao wa Facebook kwenye akaunti ya Kaka ambapo kuna namba ya simu ya Kaka na huwa anatabia ya kumposti mwanaye na mara kadhaa ametaja shule anayosoma mwanaye).

Baada ya kupokea simu hiyo alimtafuta mke wake, aliyekuwa nyumbani lakini simu yake haikupokelewa pia akamtafuta dada (Msaidizi wa kazi za ndani) naye hakupokea simu. Lengo la kuwatafuta ni kutaka kujua kama wamepata taarifa yoyote. Kutokupatikana kwao kulimfanya Kaka awaze na kufikiri kweli kuna shida ndio maana Mke wake wapokei simu kumbe mke wake na dada wote hawana hili wala lile, wameacha simu ndani na wanashughulika nje ya nyumba

Wakati bado akiwa amechanganyikiwa na kuanza kutafuta hela (hakuwa nayo kwa simu) ili atume na kuongea na wenzake kazini kwamba amepata dharura inabidi kwenda nyumbani, mwezake mmoja ndio alimwokoa na kumfanya asitume fedha hiyo. Mwenzake huyo alimwambia, siku hizi wizi ni mwingi kwanini badala ya kutuma fedha usifike kabisa pale hospitali kuona kinachotokea? Maana hawataacha kumtibu wakiambiwa mzazi unaaenda. Lakini pia alimuuliza hauna hata namba ya simu ya Mwalimu kumuuliza kama kuna shida yoyote?

Hapo ndio akili sasa zikaanza kumkaa sawa na kuanza kutafuta namba za Walimu na kuipiga namba moja wapo na kupata taarifa kuwa mwanaye yupo tu shuleni na anaendela na masomo kama kawaida.

Sasa nawaza kama asingekuwa na mtu karibu au angekuwa na fedha kwenye simu, angekuwa ameshatapeliwa.

Ushauri wangu: Ni vema kuwa waangalifu na makini na hawa matapeli jamani, na tusiweke taarifa zetu sana kwenye mitandao ya kijamii, kwani wanaweza kuzitumia vibaya.

Karibu tushikishane hapa namna ulivyotapeliwa au ulivyotaka kutapeliwa mtandaoni, itasaidia kuokoa watu wengine
Kaka ako nae Ni chiz tu acha apigwe unampost VIP mtoto na kuanika full detail zake mitandaoni mwambiea kak ako aache ujinga na upumbafu ,how came anawapost familia mitandaoni acha muibiwe tu

Hilo la kupigiwa simu kuwa mtot anaumwa halijaanza leo mm mwaka 2017 nilipigiwa hvyo na matapeli kuwa mtot anaumwa kunbe uongo na walitaka pesa hvyovhyo na sikuwapa nilichofanya nimmpigia .master pale pale na matron athibishe Hilo
 
Habari wanajamvi,

Utapeli na wizi wa Mitandaoni kwa kweli umekithiri sana jamani, yaani kuna ndugu yangu kidogo aibiwe na hawa watu. Ukweli ni kwamba wizi huu pia hutegemea zaidi bahati ila wengi sana wanaumia na wizi huu. Ngoja niwape kisa kilivyokuwa;

Nina kaka yangu mwenye mke na mtoto anayesoma darasa la 3. Siku moja akiwa kazini alipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni Mwalimu wa Mtoto na kumwambia kuwa mtoto wake ameanguka shuleni na kupelekwa hospitali hivyo anatakiwa kuchangia fedha kiasi cha TSZ 80,000/- kwa ajili ya kufungua faili na kumuona daktari.

Kilichomfanya amini ni kwa sababu mtu yule alitaja jina la mtoto wake la kweli na kutaja shule ya kweli anayosoma mtoto huyo (Baadaye tulihisi taarifa hizo tapeli alizipata katika mtandao wa Facebook kwenye akaunti ya Kaka ambapo kuna namba ya simu ya Kaka na huwa anatabia ya kumposti mwanaye na mara kadhaa ametaja shule anayosoma mwanaye).

Baada ya kupokea simu hiyo alimtafuta mke wake, aliyekuwa nyumbani lakini simu yake haikupokelewa pia akamtafuta dada (Msaidizi wa kazi za ndani) naye hakupokea simu. Lengo la kuwatafuta ni kutaka kujua kama wamepata taarifa yoyote. Kutokupatikana kwao kulimfanya Kaka awaze na kufikiri kweli kuna shida ndio maana Mke wake wapokei simu kumbe mke wake na dada wote hawana hili wala lile, wameacha simu ndani na wanashughulika nje ya nyumba

Wakati bado akiwa amechanganyikiwa na kuanza kutafuta hela (hakuwa nayo kwa simu) ili atume na kuongea na wenzake kazini kwamba amepata dharura inabidi kwenda nyumbani, mwezake mmoja ndio alimwokoa na kumfanya asitume fedha hiyo. Mwenzake huyo alimwambia, siku hizi wizi ni mwingi kwanini badala ya kutuma fedha usifike kabisa pale hospitali kuona kinachotokea? Maana hawataacha kumtibu wakiambiwa mzazi unaaenda. Lakini pia alimuuliza hauna hata namba ya simu ya Mwalimu kumuuliza kama kuna shida yoyote?

Hapo ndio akili sasa zikaanza kumkaa sawa na kuanza kutafuta namba za Walimu na kuipiga namba moja wapo na kupata taarifa kuwa mwanaye yupo tu shuleni na anaendela na masomo kama kawaida.

Sasa nawaza kama asingekuwa na mtu karibu au angekuwa na fedha kwenye simu, angekuwa ameshatapeliwa.

Ushauri wangu: Ni vema kuwa waangalifu na makini na hawa matapeli jamani, na tusiweke taarifa zetu sana kwenye mitandao ya kijamii, kwani wanaweza kuzitumia vibaya.

Karibu tushikishane hapa namna ulivyotapeliwa au ulivyotaka kutapeliwa mtandaoni, itasaidia kuokoa watu wengine
Kaka yako boya
 
Wajinga hawaishi labda bahari ikauke

Ova
 
2018 nilitapeliwa kwa kujitakia.ilikuwa ni plan ndani ya muda wa miezi 3.ndio nikapigwa elfu 76000/.
Kuna post nilikutana nayo FB Miaka hyo ikielezea msaada wa mgeni kupata usaidizi wa kujua mazingira ya kitarii tanzania,

So nika comment kwa maelezo machache juu y tanzania.baada ya siku kadhaa,nikapata txt kutoka kwa yule mtu alie kuwa akiuliza juu ya tanzania.

Basi tukasalimiana ika isha hivo,baada ya wiki kama mbili.akanitext kwa kuomba email ili tune tunawasiliana kwa email.

Picha ndio likaanza hapo,basi akawa ananitumia email za kujuana zaidi.lakin Huacha sku zpite kama nne au wiki.

Kunasku akanambia anataka kupata nyumba ya kuishi tanzania,kwan anakuja kwaajiri ya kufungua na kuwezesha watoto yatima na wa mtaaani.

Southern Highland mkoa wa mbeya,kwani alisha wahi kutembelea na shirika moja la misaada.

Kwahiyo akahoji kuhusu bei za kupanga nyumba.nikawa na mjibu kwa experience.mwishowe akasema anasafiri toka jimbo moja USA, then atakuja tanzania.lakini akaomba ni mpokee mwenzie ate tangulia tanzania.alatuma email yake nikamcheki.

Movie ndio inaendelea kuiva.basi baada ya kujuana na huyo mwenzie mpya au sijui ndio yuleyule.tukawa tuna chart mambo tofauti tofauti.nakumbuka hapo ni miez miwili inaenda kuisha.

Ngoja nifupishe.tulipo zidi kuwasiliana ndani ya miez mitatu sasa,yule mtu wa kwanza akanambia kama niko jirani na Bandari ya mtwara kunavitu vilitumwa kwajiri ya ofisi nikavipokee.mmmh ishu ikawa hapo akanitumia documents za hizo bidhaa zimetoka Japan lakin vimekaa kwa agent kama miez miwili.
Kwan walipotegemea kuwahikuingia bongo mambo yakawa mengi.

Nikamwambia mimi nko mbali wakati huo nilikuwa safarini toka mbeya to lusaka.

Basi akanambia anitumie namba za agent niweze kumpa address ili vitu nivipokee na kuvitunza hadi watapokuja bongo.

Sasa nilipo fika boda ya tunduma nika piga ile namba niliyo tumiwa.jamaa akajitambulisha ni agent yuko mtwara.akasema eleza shida yako nkamjuza kuna bidhaa za flan hapo akasema kwa mshangao kwan ww ndio ilibidi upokee mbona mmeviacha kwa muda mrefu na kuanza kunipa lawama.utadhani vitu ni vyangu ng'ombe yule.

Akasema nmpe location nkamwambia sasa inasomba boda akasema hapo nirahisi kwa leo kwani kuna ndege ndogo ya cargo inaenda songwe saa 10 jioni.so akasema ngoja alike ofisin aka fanye arrangement.

Baada kama ya lisaa akanipa mtu ambaye ni mdada eti ni secretary na yule mdada akanijuza mzgo unavailable elfu 76.

Nikamwambia mbona umelipiwa akasema nimchek mwenye mzgo nilpo mchek akanambia ngoja awacheki.baada ya muda mwenye mzgo akaniludia na kusema niwatumie hyo 76 kwan muda sio mrefu saa kumi itaingia na mzgo hautaondoka.[printer2,computer1,camera canon]

Nikajaribu kumtafuta mate wangu alikuwa anaishi mtwara,nilipo muelekeza ofisi ya agent ilipo akasema maeneo hayo anapajua ila yy yuko mbali.nikatafuta jamaa angu husema anaishi huko nae akanambia yuko tandahimba.

Basi nikatuma 76 kwan huyu mwenye kujifanya ndio mwenye mzgo alikuwa ananisumbua kwamba tumejuana more than three months alafu nashindwa kumsaidia na ameniamin kutunza mali yake.

Akili ilipokuja shituka Nepalese jamaa alipo nipigia tena na kusema amedakwa Airport.kudai kunabox ambalo waliweka dollars kama 10000/ so police wana mtuhumu kwa usafirishaji wa pesa.akasema nimtumie lak2 awahonge.nkamwambia chukua hzo dollar zote wape naww kama hapo ya Pole.tuma hivo vifaa.

Jamaa akadai hawataki zle wanataka nitume.nkamwambia rudisha mizgo ofisini kwenye ile 76.nenda kainjoi.usinitafute tena.nikarudi kwa yule mwenye mzgo na kuandika neno kubwa F@*K YOU.
 
Mimi niliuziwa madini feki ya dhahabu kwa mamilioni ya shilingi! Hela yote ya mafao niliimalizia huko! 😭 Bora ile hela ningeolea tu mke wa pili, walau na mimi ningeambulia chochote. 🤤
Utani wa nini?
 
Tabia ya kuweka taarifa zetu au za ndugu zetu mitandaoni itatugharimu sana
 
Umepigwa vzr snaaaa
 
Kuna hii mbuzi toka Kenya inaona wabongo ni mambuzi kama yeye
 
Attachments

  • Screenshot_20240531-082122.png
    Screenshot_20240531-082122.png
    540.7 KB · Views: 11

Dah mtu kashikwa na dolar elfu 10 alafu anataka laki 2 ahongee ili aachiwe? Matapeli mbona Havana akili za kufikiria
 
Back
Top Bottom