Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,671
- 3,600
Hii imenitokea jana aisee nmepigwa laki 9 jana usiku nipo hapa hata sijui what to do. ukiwapogia watu wa mixx hata hawatoi ushirikiano.Imeshangasha Pesa imeweza kuhamishwa kutola kwenye namba yangu ya YAS bila mimi kujua au kuona meseji.
Imenishangaza kwasababu nimeigundua baada ya kuangalia statement kwenye Yas app na kuona nimetuma hela mara tatu kiasi cha laki 3 kwa watu nisiyowafahamu.
Hakuna msaada kutoka Yas wanasema nichukue hatua za kisheria.
Huenda technolojia imekuwa zaidi au pesa zetu haziko salama kwenye mitandao.
Kama watu wanaweza kuhamisha pesa kutoka kwenye simu hii ni hatari sana
Simu yangu ninakaa nayo mwenyewe na hakuna aliyeishika kwakuwa ina password ya fingerprint.
Duuh hakuna mtu alieshika simu yako hivi karibuni? hasa Hawa wanaosajili line njianiHii imenitokea jana aisee nmepigwa laki 9 jana usiku nipo hapa hata sijui what to do. ukiwapogia watu wa mixx hata hawatoi ushirikiano.
Kweli mkuu hawa Tigo wanashirikiana na wezi wa mitandaoni, Nilikopaga kwenye kampuni hizi za Mitandaoni baada ya siku ya kulifa haijafika nikaanza kutishiwa na kutukanwa na wakatuma sms kwenda kwenye namba za watu wangu wa karibu,Sasa mimi sikuwalipa, Sasa kuna siku nikatumiwa pesa nyingi kidogo kwenye line yangu ya Tigo baada ya Dakika tano kampuni niliyokopa wakaanza kunipigia simu ya kuniambia niwalipe deni lao toka siku hiyo nikajua Tigo wanashirikiana na Wezi wa Mitandaoni kutoa Taarifa za Wateja wao, nahisi hawa Tigo wanatoa Taarifa za Wafabiashara wapya waliofungua Tigo pesa mpya kwa Wezi ili waende wakawaibie.Pole sana mkuu
Huo ni mtandao wa hovyo kabisa hapa nnchini. Hata wale wa. TUMA KWA NAMBAA HII ni wana connection na Yas naweza kuthibitisha
Juzi nilinunua umeme nikaambiwa nadaiwa NIVUSHE jambo ambalo siyo kweli.
Jana nilinunua VOCHA ikakatwa ati nadaiwa jambo ambalo siyo kweli na ukipiga customer care mlolongo ni mrefu sana. Naitumia namba yao KUPOKELEA SIMU TU wakwende zao huko mix mix wezi wakubwa hawa TIGO
Unapotoa tuhuma jaribu kua na uhakika na unachosema...Kweli mkuu hawa Tigo wanashirikiana na wezi wa mitandaoni, Nilikopaga kwenye kampuni hizi za Mitandaoni baada ya siku ya kulifa haijafika nikaanza kutishiwa na kutukanwa na wakatuma sms kwenda kwenye namba za watu wangu wa karibu,Sasa mimi sikuwalipa, Sasa kuna siku nikatumiwa pesa nyingi kidogo kwenye line yangu ya Tigo baada ya Dakika tano kampuni niliyokopa wakaanza kunipigia simu ya kuniambia niwalipe deni lao toka siku hiyo nikajua Tigo wanashirikiana na Wezi wa Mitandaoni kutoa Taarifa za Wateja wao, nahisi hawa Tigo wanatoa Taarifa za Wafabiashara wapya waliofungua Tigo pesa mpya kwa Wezi ili waende wakawaibie.