WIZI WA SIMU

lucky lefty

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
491
Reaction score
454
Habari wakuu!

Kuna kibaka mmoja kaiba simu yangu jana usiku ila bado anaitumia. Kwa bahati nzuri simu ina PIN sema anaweza kuiflash.

Tatizo tukiipiga namba inapokelewa na mtu anajifanya kauziwa hiyo simu na aliyemuuzia anamjua, tatizo tukimwambia tuonane atupeleke kwa huyo aliyemuuzia anatuletea siasa nyingi halafu anataka kwanza nimpe PIN yangu ya simu ili aweze kunipigia tukitaka kuonana kwenda kumfata huyo aliyemuuzia.

IMEI ya simu ninaijua na Namba yangu hajaitoa kwenye simu mpaka sasa.

Nimeenda Kituo cha Polisi amenishauri tu niiblock laini basi ila simu niisahau.

Naomba ushauri wenu nini cha kufanya. Maana simu nimenunua Bei kidogo.
 
Wahi police
 
Usithubutu kumpatia PIN ..wemuambie kama nikuonana haina haja ya yy kukupigia kwakutumia hiyo simu yako bali wewe upo tyr kumpigia hata kila baada ya dkk5 hadi kufanikisha zoez lakuonana
 
Mkuu wamesema simu uisahau duh, lakini kwakua umeshatoa taarifa polisi fanya hivi, watafute wataalamu wa IT waitrace simu utaipata tu maadamu imei unaijua, we block kama walivokwambia hiyo laini, maana ukiiacha hivo hivo inaweza kukuletea majanga mengine.
 
Kuna member anaitwa BUMIJA alikua anamfuatilia hatua kwa hatua aise akat anatoka kigoma ktk ule uzi wake kikubwa lain iwe hewan tu mtafute anaweza akakusaidia pia alitaja ile App inaitwa HD TECHNOLOGY nazan ni App yakulipia
 
MUAWAGE MNATUMIA MOBILE TRACKER.

Mtu akiiba simu yako very easy kumkamata mpk picha yake unaweza kuipata bila shida yoyote
Tafadhali 2elezee inavyofanya kaz mkuu naje ni App yakununu au free nakama niyakununua unalipa kwamtindo gani
 
MUAWAGE MNATUMIA MOBILE TRACKER.

Mtu akiiba simu yako very easy kumkamata mpk picha yake unaweza kuipata bila shida yoyote
Mkuu hao wezi wa simu wote wateja wao wakubwa mafundi simu,nao wakiipata tu wanaiflush sasa hiyo mobile tracker itasaidiaje hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…