WIZI WA SIMU

WIZI WA SIMU

Sorry naomba icon ya hiyo Mobile tracker...nimekutana nazo nyingi it's confusing now.
How to install mobile tracker free for android.

Andika hivyo kwenye YouTube. Inakuja na tua angaria maelezo Mimi sijui kutuma video hapa iliyokuwa kwenye you tube.

Mimi nimeweka fins my device ya simu tu ukiikamata na kuiweka lain napta namba yako na unaweza ukaweka namba zaid ya moja. Na inatrack kama kawaida fresh tu.
 
Asante. Nataka icon km ivo mkuu not a video. Play store nimekuta nyingi mno Sasa sijui which one works better. hiyo application unascreenshot basi
IMG_20190601_150402_036.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani wenye ma ujuzi watusaidie maana hii ya kuibiwa sim yaweza kumkuta kila mtu tuendelee kuelimishana huenda tukazid kuwaumbua hawa vibaka
 
Haipatikan play store ingia Google chrome ya simu yako indika mobile tracker free fuata maelezo kwa step zote na mwisho itakupa code kwasababu inakuja hidden haiyonekani na mtu sasa hizo code utazopewa utakuwanazo unapojitaji kufungua utazipiga na itakupeleka kwenye app yako.
Asante. Nataka icon km ivo mkuu not a video. Play store nimekuta nyingi mno Sasa sijui which one works better. hiyo application unascreenshot basiView attachment 1114095

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wamesema simu uisahau duh, lakini kwakua umeshatoa taarifa polisi fanya hivi, watafute wataalamu wa IT waitrace simu utaipata tu maadamu imei unaijua, we block kama walivokwambia hiyo laini, maana ukiiacha hivo hivo inaweza kukuletea majanga mengine.
Hao wataalam wa IT wanakua wapi? Ni tofauti na polisi wa cyber?
 
Haipatikan play store ingia Google chrome ya simu yako indika mobile tracker free fuata maelezo kwa step zote na mwisho itakupa code kwasababu inakuja hidden haiyonekani na mtu sasa hizo code utazopewa utakuwanazo unapojitaji kufungua utazipiga na itakupeleka kwenye app yako.
[emoji109]
 
Tcra walituzuga eti baada ya kuzima simu vimeo huu wizi wa simu utabaki kuwa historia [emoji3][emoji3]
Nchii hiiiii
 
Nimeenda Kituo cha Polisi amenishauri tu niiblock laini basi ila simu niisahau.
Hakuna kitu kinakera kama feedback za polisi pale unapoibiwa au kupata tatizo.

Sasa badala ya kutoa msaada wanakwambia 'SAHAU 😔' wakati wana jukumu, uwezo wa kumkamta kibaka.
 
Ndiyo maana huwa napenda kui-hack simu yangu. Nilishajutia

Ili ikipotea au nikiibiwa nimpate aliye ichukua.

Tatizo watu huwaza ku hack simu za wapenzi wao tu.
How[emoji848][emoji848]
 
Hakuna kitu kinakera kama feedback za polisi pale unapoibiwa au kupata tatizo.

Sasa badala ya kutoa msaada wanakwambia 'SAHAU [emoji17]' wakati wana jukumu, uwezo wa kumkamta kibaka.
Ingetokea mtu kamkashifu kiongozi wa kisiasa ungesikia polisi ina mkono mrefu itawakamata wote wanao mdhalilisha mheshimiwa fulani...na baada ya siku unasikia kijana aliyemtukana mh fulani anashikliwa huko polisi.......this is Africa bwana.
 
Kuna member anaitwa BUMIJA alikua anamfuatilia hatua kwa hatua aise akat anatoka kigoma ktk ule uzi wake kikubwa lain iwe hewan tu mtafute anaweza akakusaidia pia alitaja ile App inaitwa HD TECHNOLOGY nazan ni App yakulipia
Jamaa nimemtext naona kimya, hata kwenye thread zake nimeangalia sijaona kitu
 
Hao wataalam wa IT wanakua wapi? Ni tofauti na polisi wa cyber?
Si kuna watu wamesomea IT wapo mtaani unawaomba wakusaidie kumtrace mhusika, mkishamkamata mnamfikisha Polisi ambako ilipelekwa taarifa ya kuibiwa simu, utaendelea kuwasubiri Polisi wakati wamekwambia uiblock line halafu simu uisahau, au unataka kuisahau simu? Ukishaambiwa hivo na Polisi unatakiwa na wewe ujiongeze akili, ukisema uwasubiri hao watu wa cyiber simu itasahaulika kama ulivoambiwa na polisi.
 
Habari wakuu!

Kuna kibaka mmoja kaiba simu yangu jana usiku ila bado anaitumia. Kwa bahati nzuri simu ina PIN sema anaweza kuiflash.

Tatizo tukiipiga namba inapokelewa na mtu anajifanya kauziwa hiyo simu na aliyemuuzia anamjua, tatizo tukimwambia tuonane atupeleke kwa huyo aliyemuuzia anatuletea siasa nyingi halafu anataka kwanza nimpe PIN yangu ya simu ili aweze kunipigia tukitaka kuonana kwenda kumfata huyo aliyemuuzia.

IMEI ya simu ninaijua na Namba yangu hajaitoa kwenye simu mpaka sasa.

Nimeenda Kituo cha Polisi amenishauri tu niiblock laini basi ila simu niisahau.

Naomba ushauri wenu nini cha kufanya. Maana simu nimenunua Bei kidogo.
Heee kama unaijua IMEI mbona rahisi kuipata? Kuna kampuni posta (dar) sijui wewe upo wapi? Inasaidia kutafuta simu zilizoibiwa ikiwa tuu utawapa IMEI. Cha msingi wewe ukishaonana na hawa jamaa wa kampuni, muombe huyo mwizi atoe line yako aweke yake, hapo ndio itakuwa rahisi kum trace na kumkamata. Kuna dogo mmoja aliibiwa Kariakoo ikapatikana Dodoma, ikaletwa Dar akakabidhiwa kwa gharama ya 20000/= Nipigie (0715274727)
 
Jamaa nimemtext naona kimya, hata kwenye thread zake nimeangalia sijaona kitu
Hujaangalia vzr mbona kwn thread alizochangia ipo thread kichwa cha habar kinaanza na NAKUJA DAR KUSAKA MAISHA..ukiangalia ktk sehem alizochangia utaona nakama ile App bado anayo bas anauwezo wakukusaidia Labdatu yupo bize
 
Tunza imei,watafute watumiaji wa Kali Linux operating system watakusaidia chap na location,jina la mtumiaji,contact yaje
 
Back
Top Bottom