Vinauzwa vitu vinayouzika/kutoka haraka haraka(Inventory turnover).Kiufupi soko ndio Lina amua(Mwendo wa Demand& Supply).
Uibe hio show ya BMW ukamuuzie Nani?
Ukiachana na soko la spea kuwa dogo, hizo BMW ni kazi kufungua hizo spea kwa hao wezi kutokana na kukosekana kwa vibaka wenye uzoefu na hizo gari, maana gari za kufanyia majaribio ni chache. Wengine huishia kupoteza muda, kuharibu gari na kuondoka na vitu ambavyo havina thamani...
Mbona umekomaa Sana unataka ziibiwe au unauzaIla kuna baadha ya models za bmw zipo nyingi sana. Kama 3 series zimejaa sana Daresalaam. Kwanini haziibiwi hizi!?
ha ha ha ha hamna faza ni vile tu nazikubali bmw na nafurai ambavyo naona haziibiwi. Hili ni funzo tuache kununua matoyota
Ukiiba taa ya Audi A4 Avant ya mwaka 2006 haiingiliani na ya mwaka 2003 japo ukiziona unaona ziko sawa πππMjerumani vifaa vyake bei ghali halafu gari chache na haviingiliani. Ukiiba taa ya 3 series ya M-performance huwezi funga kwenye 3 series ya kawaida ikafanya kazi.
Ila Toyota RunX generation moja taa zinaingiliana, mfano ya 2000-2004Kuna suala limetrend sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wizi wa vifaa vya magari.
Unakuta umepaki gari lako usiku ukija asubuhi unakuta show yote ya mbele hakuna, taa zimetolewa..wakiweza kufungua milango wanatoa power window wanasafisha redio na kila kitu.
Sasa concern yangu ni kwamba katika wizi huohuo unaotrend unafanyika haswa kwa baadhi ya models za magari...mostly ni Toyota na subaru.
Ila kwakweli sijawahi kuona BMW mashine ya kijerumani imenyofolewa show kuibiwa taa na kufumuliwa show ya ndani.
Hili limekaaje!? Ni kwamba BMW haziibiki au!?