Elections 2010 Wizi wa waziwazi

Elections 2010 Wizi wa waziwazi

Vitus mkumbee

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
22
Reaction score
1
Wizi unaonekana ni wa wazi jimbo la ubungo coz kuna jama ameonekana na makaratasi anataka kuondoka nayo tena akitumia gari binafsi
 
Embu wasiamshe hasira za Mungu...
 
CCM hawana hayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kitu haya hakipo hata kidogo, na hii ni moja ya tabia ya kifisadi!
 
nadhani ipo haja ya kushughulikia kwanza familia yake nddiyo ajue hakuna mchezo; hakuna mwenye bakora za karibu na vitoto vyake?
 
Itafikia tuchue sheria mkononi tuwashughulikie mafisadi mpaka yashindwe kukaa kwa raha!
 
Back
Top Bottom