Wizkid aitakia happy Independence day Tanzania

kyemo

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Posts
570
Reaction score
718
wizkid ambaye ni msanii wa nigeria na hasimu mkubwa wa davido ameitakia happy indepence day Tanzania.Hii imekaaje au ndio kutumia fursa kwa lile wingu lililoibuka upande wa davido na watanzania.
Kweli wenzetu wanajua kutumia advantage
 
Attachments

  • 1418151970686.jpg
    1418151970686.jpg
    49.1 KB · Views: 884
Mbona kawaida tu hiyo sasa hivi kina jay z nao wataanza tanzania ikikua siyo kick hiyo think positive bwashee..
 
wizkid ambaye ni msanii wa nigeria na hasimu mkubwa wa davido ameitakia happy indepence day Tanzania.Hii imekaaje au ndio kutumia fursa kwa lile wingu lililoibuka upande wa davido na watanzania.
Kweli wenzetu wanajua kutumia advantage

Siyo only him....!kuna inyanya, official waje....chameleone....

So me naona kawaidaaa
 
nimemzungumzia wizkid coz ana uhasama na davido na hajawai hapo nyuma,ukiachana
 
ukiachana na jose chameleone ambaye sio mara ya kwanza,inyanya na waje unaweza elewa coz wamepiga collabo na diamond so wanatafuta pia kutanua soko lao
 
Take t easy mkuu...........may be unachomaanisha ni true, but usitumie nguvu kubwa kuaminisha.
 
ukiachana na jose chameleone ambaye sio mara ya kwanza,inyanya na waje unaweza elewa coz wamepiga collabo na diamond so wanatafuta pia kutanua soko lao

About marketing..nimekuelewa
 
kiongozi hakuna nguvu iliyotumika hapo labda km umesoma post juu kwa juu tu
 
km umenielewa kiupande wa masoko hapo vyema coz hatujawai kumsikia wizkid hasa kipande hichi cha Tanzania bt suddenly ameibuka so sitashangaa sana nikianza kusikia nyimbo zake zikipigwa sana redion coz wenzetu wanajua kutumia opportunity.Mtu akiharibu ww unakaa faster
 
Tuache unazi, penye ukweli usemwe... hao wote kama zamani walikuwa wanaifahamu Tanzania basi walikuwa wanaifahamu juu juu tu lakini mafanikio ya Chibu ndiyo yameifanya Tanzania yetu hivi sasa ifahamike na wasanii kutoka nje hususani Nigeria ambako Chibu amekuwa akifanya nao collabo! Kutokana na ukweli huo, ndio maana sie wengine hatuoni busara ya mashabiki wa Tanzania kuanza kujenga uhasama na mashabiki wa Nigeria kwa vitu visivyo na impact yoyote coz' bado tunahitaji ushirikiano na West ili kukuza sanaa yetu... ushirikiano ambao hata Kanumba kupitia filamu aliuanza lakini baada ya kutangulia mbele za haki haonekani mwingine aliye serious!
 
Ukweli wenyewe ndio huo... ni kwamba, Wiz ni kama anataka kupita kati kati ya hii misunderstanding iliyotokea... ni kama anataka kuonesha kumuunga mkono yule anayeelekea kutaka kuwa mbaya wa Davido... ni ile ya kwamba adudi wa adui yako ni rafiki.
 
Uko sahihi, Wizkid bado hajapata nafasi kwenye masikio ya watz sio rahisi from no where atweet hivyo,ametumia hiyo loop ya saga la hasimu wake Davido ili wabongo tuhamishie majeshi kwake
 
Ashukuriwe Diamond, yaan mafanikio yake yamefanya Africa ianze kututolea macho, sahivi wabongo tumepata pa kusemea. Wasanii wengine wa bongo kuweni wajanja, tumieni hiyo chance na nyie kazi zenu zifike mbali, maana Diamond kashawatengenezea njia kama wasanii wa Nigeria walivyotengenezewaga njia na 2Face
 
Tuache unazi, penye ukweli usemwe... hao wote kama zamani walikuwa wanaifahamu Tanzania basi walikuwa wanaifahamu juu juu tu lakini mafanikio ya Chibu ndiyo yameifanya Tanzania yetu hivi sasa ifahamike na wasanii kutoka nje hususani Nigeria ambako Chibu amekuwa akifanya nao collabo! Kutokana na ukweli huo, ndio maana sie wengine hatuoni busara ya mashabiki wa Tanzania kuanza kujenga uhasama na mashabiki wa Nigeria kwa vitu visivyo na impact yoyote coz' bado tunahitaji ushirikiano na West ili kukuza sanaa yetu... ushirikiano ambao hata Kanumba kupitia filamu aliuanza lakini baada ya kutangulia mbele za haki haonekani mwingine aliye serious!

ni kweli hatuhitaji kuwa na uhasama lakini tunahitaji kuwa respected pia
 
Sasa ikiwa mtu anawaambia BBA kwamba wame-cheat then wa-Tanzania wanaanza kumwaga matusi mazito mazito... sasa respect yenyewe hapo ipo wapi? Hivi unadhanni ni nani anaweza kuwa tayari kukubali kushindwa wakati tayari wameshajenga dhana kwamba huwa wanahujumiwa? Let's call a spade a spade, Chibu alidhani alichomaniisha Davido ni pamoja na tuzo za ChO wakati wao bifu lao lipo kwenye BBA na ndio maana hata ukiangalia michango ya wanaija mara baada ya Davido ku-tweet, wote walikuwa wanai-dis BBA!
 
kutukana ni hulka ya mtu,na nia aina ya uchizi fulani,mtu anakaa kabisa kwenye keyboard anaandika matusi we unadhani huyo mtu atakuwa mzima kichwani?
davido pia alikosea coz hata km alikuwa anawalenga BBA,pia kwa upande wa pili alitakiwa kujua anachomaanisha ni kuwa mshindi hakustahili ambae ni Mtanzania
 
well said wenye akili wameshapata jibu
 
Mbona kawaida tu hiyo sasa hivi kina jay z nao wataanza tanzania ikikua siyo kick hiyo think positive bwashee..

I got crowned King down in Africa
Down in Nigeria do you have any idea
Sold out shows in Seoul Korea
Jo-berg, Dublin, Tanzania
~~~~~~
www.azlyrics.com/lyrics/jayz/ohmygod.html
 
Back
Top Bottom