kyemo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 570
- 718
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wizkid ambaye ni msanii wa nigeria na hasimu mkubwa wa davido ameitakia happy indepence day Tanzania.Hii imekaaje au ndio kutumia fursa kwa lile wingu lililoibuka upande wa davido na watanzania.
Kweli wenzetu wanajua kutumia advantage
ukiachana na jose chameleone ambaye sio mara ya kwanza,inyanya na waje unaweza elewa coz wamepiga collabo na diamond so wanatafuta pia kutanua soko lao
ukiachana na jose chameleone ambaye sio mara ya kwanza,inyanya na waje unaweza elewa coz wamepiga collabo na diamond so wanatafuta pia kutanua soko lao
Ukweli wenyewe ndio huo... ni kwamba, Wiz ni kama anataka kupita kati kati ya hii misunderstanding iliyotokea... ni kama anataka kuonesha kumuunga mkono yule anayeelekea kutaka kuwa mbaya wa Davido... ni ile ya kwamba adudi wa adui yako ni rafiki.km umenielewa kiupande wa masoko hapo vyema coz hatujawai kumsikia wizkid hasa kipande hichi cha Tanzania bt suddenly ameibuka so sitashangaa sana nikianza kusikia nyimbo zake zikipigwa sana redion coz wenzetu wanajua kutumia opportunity.Mtu akiharibu ww unakaa faster
Tuache unazi, penye ukweli usemwe... hao wote kama zamani walikuwa wanaifahamu Tanzania basi walikuwa wanaifahamu juu juu tu lakini mafanikio ya Chibu ndiyo yameifanya Tanzania yetu hivi sasa ifahamike na wasanii kutoka nje hususani Nigeria ambako Chibu amekuwa akifanya nao collabo! Kutokana na ukweli huo, ndio maana sie wengine hatuoni busara ya mashabiki wa Tanzania kuanza kujenga uhasama na mashabiki wa Nigeria kwa vitu visivyo na impact yoyote coz' bado tunahitaji ushirikiano na West ili kukuza sanaa yetu... ushirikiano ambao hata Kanumba kupitia filamu aliuanza lakini baada ya kutangulia mbele za haki haonekani mwingine aliye serious!
Sasa ikiwa mtu anawaambia BBA kwamba wame-cheat then wa-Tanzania wanaanza kumwaga matusi mazito mazito... sasa respect yenyewe hapo ipo wapi? Hivi unadhanni ni nani anaweza kuwa tayari kukubali kushindwa wakati tayari wameshajenga dhana kwamba huwa wanahujumiwa? Let's call a spade a spade, Chibu alidhani alichomaniisha Davido ni pamoja na tuzo za ChO wakati wao bifu lao lipo kwenye BBA na ndio maana hata ukiangalia michango ya wanaija mara baada ya Davido ku-tweet, wote walikuwa wanai-dis BBA!ni kweli hatuhitaji kuwa na uhasama lakini tunahitaji kuwa respected pia
kutukana ni hulka ya mtu,na nia aina ya uchizi fulani,mtu anakaa kabisa kwenye keyboard anaandika matusi we unadhani huyo mtu atakuwa mzima kichwani?
davido pia alikosea coz hata km alikuwa anawalenga BBA,pia kwa upande wa pili alitakiwa kujua anachomaanisha ni kuwa mshindi hakustahili ambae ni Mtanzania
Mbona kawaida tu hiyo sasa hivi kina jay z nao wataanza tanzania ikikua siyo kick hiyo think positive bwashee..