Gracious
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 1,890
- 1,082
Tuache unazi, penye ukweli usemwe... hao wote kama zamani walikuwa wanaifahamu Tanzania basi walikuwa wanaifahamu juu juu tu lakini mafanikio ya Chibu ndiyo yameifanya Tanzania yetu hivi sasa ifahamike na wasanii kutoka nje hususani Nigeria ambako Chibu amekuwa akifanya nao collabo! Kutokana na ukweli huo, ndio maana sie wengine hatuoni busara ya mashabiki wa Tanzania kuanza kujenga uhasama na mashabiki wa Nigeria kwa vitu visivyo na impact yoyote coz' bado tunahitaji ushirikiano na West ili kukuza sanaa yetu... ushirikiano ambao hata Kanumba kupitia filamu aliuanza lakini baada ya kutangulia mbele za haki haonekani mwingine aliye serious!
Hio ni opportunity mkuu...nadhani hulioni hilo...dont you see hili mfano wa bifu linafanya watu wote watake kujua who is diamond....
Kwa wajanja hapa ndipo wanapiga pesa....usiogope,....sometimes vitu kama hivi hua vinatengenezwa