Wood Stone
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 647
- 1,012
Mbona wao wanamaendeleo kuliko sisi wakati wao hawafanyi kazi?Usishangae mkuu Mzungu hana kazi zaidi ya kutafuta viwanja vya starehe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wao wanamaendeleo kuliko sisi wakati wao hawafanyi kazi?Usishangae mkuu Mzungu hana kazi zaidi ya kutafuta viwanja vya starehe.
Nimekuwekea zipo hapo,zipitie. Maana nimekuambia zifuate you tube,unasema hazipoSababu tumeziona video you tube. Za domo hazipo. Tuletee basi
Kajitaidi. Mkuu!!! But Starboy ni next levo.Kwenye nyanja ya muziki Afrika na Sehemu zingine. 02 Back to Back si mchezo. Hakuna mwafrika aliefanya hivyo. 02 ni wa duniaNimewawekea hapo juu
Nimekuwekea zipo hapo,zipitie. Maana nimekuambia zifuate you tube,unasema hazipo
Hiyo ndio sifa ya mwanaume halisi. Ukimrengeshea na wewe atakupitia tu,dogo sio mvivu,ili mradi tu usiwe na sura ka kapu la sokoniDomo wao busy kuzalisha east africa nzima..busy kuweka bifu na baby mama zake
Music IconWiz boy
Hiyo ndio sifa ya mwanaume halisi. Ukimrengeshea na wewe atakupitia tu,dogo sio mvivu,ili mradi tu usiwe na sura ka kapu la sokoni
Hiyo ndio sifa ya mwanaume halisi. Ukimrengeshea na wewe atakupitia tu,dogo sio mvivu,ili mradi tu usiwe na sura ka kapu la sokoni
Na kwa population tuko less sana kulinganisha na NigeriMbona diamond mwaka Huu amejaza ukumbi mkubwa wa Columbus wa inchini Germany ambao kabla ajafanya yeye show hakuna msanii yoyote wa Africa aliyefanya hivyo na ticket zote zilikuwa sold out.sema kwa Tanzania hatuna wasanii wengi wanaofanya vizuri compare to Nigeria ukiachana na diamond wengine unawatafuta kwa tochi.
kabisa mkuu,huku kwetu wasanii wetu wamebakia kupata heshima kenya tu,na cku kenya wakiwa na wasanii wakubwa afrika hawatakua na mpango na wasanii wa tz kbs,hapo ndio wakapokufa kifo cha mende wasanii wetuWana roho mbaya kupitiliza. Wabongo hawataki mwingine atusue. Hawajui wizkid mpaka hapo alipofikia,anapata sapot kubwa sana kuanzia kwao Nigeria.
Acha kudanganya watu wewe germany watu walijaa coz kulikuwapo na wasanii wao wengi tu,diamond hata hapa bongo anashindwa na nandy tu kumbuka nandy sumbawanga mwaka huu waliingia watu 11 elfu so nandy kiutafiti yupo juu hapa bongo zaidi ya mondMbona diamond mwaka Huu am
ejaza ukumbi mkubwa wa Columbus wa inchini Germany ambao kabla ajafanya yey
e show hakuna msanii yoyote wa Africa aliyefanya hivyo na ticket zote zilikuwa sold
out.sema kwa Tanzania hatuna wasanii wengi
wanaofanya vizuri compare to Nigeria ukiachana na diamond wengine unawatafuta
kwa tochi.
Kulikuwa hamna msanii yoyote ilikuwa ni One man show tangazo hili hapo.Acha kudanganya watu wewe germany watu walijaa coz kulikuwapo na wasanii wao wengi tu,diamond hata hapa bongo anashindwa na nandy tu kumbuka nandy sumbawanga mwaka huu waliingia watu 11 elfu so nandy kiutafiti yupo juu hapa bongo zaidi ya mond
Mkuu wamelegea kabisa,alikomaa alifikiri ni utani,ingekuwa sio nauture ya mswahili kubishana tu hata baada ya kuwawekea evidences waliyotaka wangekiri tu tumeshindwa. Baada ya kuwalegeza wameanzisha kitu ingine eti nimwanzishie uzi kabisaBora ulivyowawekea video sijui watasemaje
Angalia balaaaaa hili la huyu muhuni StarBoy.
Asante mkuu. Endelea kuwalegeza,wapenda vya kutawaliwaKulikuwa hamna msanii yoyote ilikuwa ni One man show tangazo hili hapo.
View attachment 1239761
labda UVCCM wameonyesha vitambulisho vya usalama wa Taifa.wengi watakuwa wameingia bure