Wizkid ajaza ukumbi wa 02 Arena

Number of Nigeria in UK kubwa,ukija kujumlisha mshikamano walikuwa nao ktk industry yao ya muziki lazima wafanye vizuri.Kwa hiyo unaweza ukakuta 80% walio ukumbini ni Nigeria.
View attachment 1240864
View attachment 1240865
Casper Nyovest msanii mkubwa wa Afrika Kusini aliwahi kusema kwamba anatamani angekuwa msanii wa Nigeria ili aweze kupata domestic support kama wanayopata wasanii wa Nigeria. Hii inadhihirisha wazi kuwa wa SA na waTZ hawana moyo wa kuwainua wasanii wao wa ndani.

Tunachoweza watanzania ni kutengeneza makundi ya kipumbavu ya kushindanisha wasanii ambayo kimsingi hayawasaidii kwa lolote.
 
Inahitaji kuwa na akili kubwa ili kubaini hiyo factor. Huwa wengi wamezoea ubishi maandazi
Huku kiwanja ukisema unatoka Tanzania, East Africa, unaulizwa "Is that near Nigeria?".

Wa Nigeria wako karibu milioni 200.

Halafu wameanza kusafiri kwenda kuishi Ulaya na Marekani kwa mafungu tangu miaka ya 1950s huko.

Wanaigeria walio nje ya nchi yao wanakadiriwa kuwa kati ya milioni 5 mpaka 15!

Watanzania walio nje ya Tanzania sijui hata kama 500,000 wanafika. Mwaka 2006 kuna hesabu zinasema walikuwa 200,000.

Mkiona mtu kama Diamond Platnumz anafanya sana collaboration na wasanii wa Nigeria, hata yeye anafanya kimkakati zaidi.
 
Wote wana talent ila naona Wizkid yupo kikazi ziadi ya Davido maybe because of their background Davido ni mtoto wa Bilionea wizkid amekulia maisha ya kimaskini zaidi
Kwenye family background ni kama Mondi na Kiba. Mmoja came from getto life mwingine anatoka ushuani
 
Wana roho mbaya kupitiliza. Wabongo hawataki mwingine atusue. Hawajui wizkid mpaka hapo alipofikia,anapata sapot kubwa sana kuanzia kwao Nigeria.
Roho mbaya inaanzia kwa wasanii wenyewe so mashabiki tuko sawa tuu. Hivi wizkid na diamond nani kafanya collable nyingi na wasanii wenzake wa ndani? Roho mbaya inaanzia hapo sasa
 
Kutulinganisha na Nigeria kwa idadi ya Diaspora ni kutukandamiza maana hata waKenya wametuacha mbali sana. Kazi yetu kupiga piga domo tu
 
Roho mbaya inaanzia kwa wasanii wenyewe so mashabiki tuko sawa tuu. Hivi wizkid na diamond nani kafanya collable nyingi na wasanii wenzake wa ndani? Roho mbaya inaanzia hapo sasa
Wizkid ali record wimbo na Drake huku hawajawahi kuonana face to face sio kwamba ilishindikana ila Drake aliona Wiz sio wa level kiasi hata cha kuingia studio room moja ku record nae. Nachoomaanisha collable zinaenda sambamba na levels.
Kama level yako ya chini ukitaka kumshirikisha msanii mkubwa lazima ukomae
 
Anaiwakirisha Nigeria sio Africa. Sapot inaipata sana Nigeria na wanaigeria wanaoishi huko nje na vipofu wajinga wachache kutokea kama Tz hivi
Next week anaachia Made in Lagos album imeshiba si mchezo. Vipofu? Hahahaha Haters bhana. hyo haimshushi Starboy
 
Watu hawawezi kukuelewa,washamua kushikilia lao lakini Naijeria walianza kujanjaruka mapema.
 
02 Juzi kati kwenye Tour ya Drake Wizkid alialikwa a wakapafom. Walipafom kwa njia ya Kutokuonana au?


Wizkid aliandika One Dance baadhi ya mashairi unaijua one Dance? Unajua ule usiku ilichukua tuzo ngapi za Billboard?


Come Closer walirekodi nayo bila kuonana? Stop hanting Even ana record na C.Brown who is Drake?
 
Roho mbaya inaanzia kwa wasanii wenyewe so mashabiki tuko sawa tuu. Hivi wizkid na diamond nani kafanya collable nyingi na wasanii wenzake wa ndani? Roho mbaya inaanzia hapo sasa
Beef zakijinga zilizoanza 2013 zimetengeneza makundi na ndizo zinamfanya Diamond asifanye Collabo na hata ukifanya Collabo na Diamond kuna baadhi ya Vituo hawakupi Airtime na hata kuna baadhi ya Show huwezi Kupata.Refer Navy Kenzo na Sasa hivi Jux.

Hivi we unazani Nigeria kuna makundi makundi na beef kama kwetu,wenzetu wanashikamana wametuzidi kila kitu.

Kwenye vituo vya kimataifa vya entertanment wamejaa wao kuanzia Trace,MTV wapo wao na ndio maana wanatawala playlist ya hivi vituo.

Yaani kwa kifupi Industry ya Tanzania ina hali mbaya,wenzetu wanawatumia Davido na Wizkid ili kuwaboost wao na kuiboost Industry.Kuanzia vituo vya redio,Tv,watangazaji mpaka wasanii wote vision yao ni moja,kuipandisha industry yao ktk Level za kimataifa na wamefanikiwa.

Sisi kadri tunaendelea industry ya Bongo Fleva inaendelea kutawanyika na sioni kama watakuja kuwa kitu kimoja sioni.
 
Nigeria wana push mziki mbele kwa mbele. Wakati Wiz anafanya unyama hapo 02 Uingereza alikuwa na wasanii wengi kutokea Nigeria na wengine ilikuwa mara yao ya kwanza kugusa katika ardhi ya 02.


Mfano Burna Boy,Olamide,Naira Marley,Terri,Rekado Banks,Nk.


Alikuwa mpaka na Skepta .



Bongo makundi tupu alafu mtu Anakwambia Wiz hamna kitu. Nafikiri wanaweza kutugea mwongozo uchawi ulianzia wapi.
 
Mkuu hii ni juzi tu alisema kupitia Twitter
 
Waambie hao,Huyo huyo domo hana shukran asilimia kubwa ya wasanii aliofanya nao kolabo aliishia kuwadiss vibaya mfano davido na mmoja wa psquare.
Roho mbaya inaanzia kwa wasanii wenyewe so mashabiki tuko sawa tuu. Hivi wizkid na diamond nani kafanya collable nyingi na wasanii wenzake wa ndani? Roho mbaya inaanzia hapo sasa
 
Hata huyu tuliokuwa nae tuna mponda,alafu tunampongeza Wizkid.Juzi Diamond kafanya show kwenye ukumbi wa Columbus Germany kajaza watu 3500 ,hili sio swala dogo.Mtoto mdogo yoyote ili afanye vizuri lazima aanze na kupongeza,si wa kwetu tuna mponda.

Wizkid,Davido,Burnaboy Boy na Patoranking wapo pale sababu ya unit ya industry yao,jamaa wanajua kupush mziki wao,wanapendana na wanabebana,hamna uchawi wowote ule zaidi ya kushikana na bado uwingi wao nje ya nchi wanajua kuutumia kusogeza kazi zao.

Sisi mziki wetu umeporomoka tokea 2016,industry ya Bongo fleva ilipotea kwenye anga za kimataifa ila mwaka huu Diamond kwa harakati zake anajitahidi kuirudisha.

Ila kwa wasanii hawato kaa chini na kuongea wenyewe kwa wenyewe watazidi kuwa na hali mbaya,sasa hivi bongo fleva haina washabiki wa bongo fleva bali ina wafuasi wa wasanii.

Hii kitu inawaumiza sana wasanii wasio kuwa na makundi na wasanii wa changa wanao chipukia.
 
mkuu nambie kati ya Wiz na Mond nani hatari? Nakuskliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…