Sijajua unataka tutumie vigezo gani.
Hivi nikuulize kama Tz tungekuwa na wa Diaspora wengi kama wanijeria hata Mondi angejaza O2 kitakwimu tu UK wanaijeria wapo zaidi ya 200,000,kwa hiyo kujaza ukumbi wa O2 sio issue kabisa.
Idadi ya wanaijeria kwao wapo zaidi ya 200m so ukisema tutumie,style ya wengi wape Wizkid ataonekana mkali ila for me Diamond ni the best sababu ya ana huwezo wa kufanya aina nyingi za muziki.
Wizkid na muheshimu na ktk Industry ya Nigeria kwangu mimi yy ni bora kuliko msanii yoyote wa Nigeria na West Africa yote.
Hahahaha Naheshimu mawazo yako. Mi namkubari sana Mond.Sana tu Coz anajituma Lakini kwa Wiz Mond bado anamengi ya kujifunza jamaa Anafanya mziki mkubwa hataniii..
Pesa anayotengeza kwenye mziki ni kubwa mno kuliko Mond. Imagine jamaa alilipwa bilion 1.5 Kule India kwa show moja katika harusi ya kifalme Imagine jamaa ana fanbase mpaka India kwanini isingekuwa Fally Pupa au Yemi Alade?
Kwenye International Collabo kwa Wiz hapa hata Davido anasubiri. Kafanya Collabo nyingi mno zilizonda na zikaskika. Kuna kushirikishwa na kushirikisha.
Si Chris Brown,Trey Songz,Future,Swae Lee,Normani,Offset,J.Balvin,Drake,Skepta,Zara Larrson,Ty Dollar Sign,Major Lazer,Justine Skyes hao ni kidogo. Hapa Mond lazima asubiri kwanza ni ukweli usio jificha.
Ile kuchukua tuzo moja ya MOBO music Award mbele ya Category iliyokuwa na watu kama Sza,Travis Scot,Dj Khalid,K.Lamar haikuwa rahisi.
Even ni msanii na moja Afrika kufikisha 4 Billions Stream on Spotfy si masihara.
UBA Bank walimpa deal kubwa la muziki afrika jamaa aliingiza pesa nyingi sana.
Drake ft Wizkid&Kyla hii ngoma ilikaa kwa weeek 8 Kwenye chart za Bilboard Ikashinda tuzo 3 usiku mmoja wakati Drake alishinda tuzo 13 Unakumbuka???
Best Collabo,Nyimbo iliyoskilizwa sana(Spotfy ) Nyimbo bora ya R&B
Wiz anapata heshima kubwa hata kwa wasanii wa Marekani ndio maana kufanya Collabo nao kwake ni kawaida(Mond hapa pia ana safari)
Wizkid haimbi style moja ya mziki. Mskilize Wiz wa Ojuelegba,kamsklize kwenye Come Closer. Kamskilize kwenye Nowo. Sauti Amaizing sana.
Hadi leo anamilizi tuzo 78 Nyuma ya Rap Sarkodie wa nchini Ghana.
No5 Richest artist in Afrika Mkwanja Upo
Hayo machache nliyakumbuka jamaa anajua sana....
NB. Namkubari Mond lkn Wiz ni G.O.A.T