Wizkid ajaza ukumbi wa 02 Arena

Wizkid ajaza ukumbi wa 02 Arena

mkuu nambie kati ya Wiz na Mond nani hatari? Nakuskliza
Sijajua unataka tutumie vigezo gani.

Hivi nikuulize kama Tz tungekuwa na wa Diaspora wengi kama wanijeria hata Mondi angejaza O2 kitakwimu tu UK wanaijeria wapo zaidi ya 200,000,kwa hiyo kujaza ukumbi wa O2 sio issue kabisa na mazingira anayofanya mziki Diamond tofauti kabisa na Wizkid.

Idadi ya wanaijeria kwao wapo zaidi ya 200m so ukisema tutumie,style ya wengi wape Wizkid ataonekana mkali ila for me Diamond ni the best sababu ya ana huwezo wa kufanya aina nyingi za muziki.

Wizkid na muheshimu na ktk Industry ya Nigeria kwangu mimi yy ni bora kuliko msanii yoyote wa Nigeria na West Africa yote.
 
Sijajua unataka tutumie vigezo gani.

Hivi nikuulize kama Tz tungekuwa na wa Diaspora wengi kama wanijeria hata Mondi angejaza O2 kitakwimu tu UK wanaijeria wapo zaidi ya 200,000,kwa hiyo kujaza ukumbi wa O2 sio issue kabisa.

Idadi ya wanaijeria kwao wapo zaidi ya 200m so ukisema tutumie,style ya wengi wape Wizkid ataonekana mkali ila for me Diamond ni the best sababu ya ana huwezo wa kufanya aina nyingi za muziki.

Wizkid na muheshimu na ktk Industry ya Nigeria kwangu mimi yy ni bora kuliko msanii yoyote wa Nigeria na West Africa yote.
Hahahaha Naheshimu mawazo yako. Mi namkubari sana Mond.Sana tu Coz anajituma Lakini kwa Wiz Mond bado anamengi ya kujifunza jamaa Anafanya mziki mkubwa hataniii..

Pesa anayotengeza kwenye mziki ni kubwa mno kuliko Mond. Imagine jamaa alilipwa bilion 1.5 Kule India kwa show moja katika harusi ya kifalme Imagine jamaa ana fanbase mpaka India kwanini isingekuwa Fally Pupa au Yemi Alade?

Kwenye International Collabo kwa Wiz hapa hata Davido anasubiri. Kafanya Collabo nyingi mno zilizonda na zikaskika. Kuna kushirikishwa na kushirikisha.

Si Chris Brown,Trey Songz,Future,Swae Lee,Normani,Offset,J.Balvin,Drake,Skepta,Zara Larrson,Ty Dollar Sign,Major Lazer,Justine Skyes hao ni kidogo. Hapa Mond lazima asubiri kwanza ni ukweli usio jificha.

Ile kuchukua tuzo moja ya MOBO music Award mbele ya Category iliyokuwa na watu kama Sza,Travis Scot,Dj Khalid,K.Lamar haikuwa rahisi.

Even ni msanii na moja Afrika kufikisha 4 Billions Stream on Spotfy si masihara.

UBA Bank walimpa deal kubwa la muziki afrika jamaa aliingiza pesa nyingi sana.

Drake ft Wizkid&Kyla hii ngoma ilikaa kwa weeek 8 Kwenye chart za Bilboard Ikashinda tuzo 3 usiku mmoja wakati Drake alishinda tuzo 13 Unakumbuka???

Best Collabo,Nyimbo iliyoskilizwa sana(Spotfy ) Nyimbo bora ya R&B

Wiz anapata heshima kubwa hata kwa wasanii wa Marekani ndio maana kufanya Collabo nao kwake ni kawaida(Mond hapa pia ana safari)

Wizkid haimbi style moja ya mziki. Mskilize Wiz wa Ojuelegba,kamsklize kwenye Come Closer. Kamskilize kwenye Nowo. Sauti Amaizing sana.

Hadi leo anamilizi tuzo 78 Nyuma ya Rap Sarkodie wa nchini Ghana.

No5 Richest artist in Afrika Mkwanja Upo

Hayo machache nliyakumbuka jamaa anajua sana....

NB. Namkubari Mond lkn Wiz ni G.O.A.T
 
Next week anaachia Made in Lagos album imeshiba si mchezo. Vipofu? Hahahaha Haters bhana. hyo haimshushi Starboy
Uko nchi gani wewe?. Nyie ndio haters wa vitu vyenu vya ndani. Na unakuta wewe ni kijana mdogo tu umri chini ya Diamond. Lakini naliona tatizo lako ni umri wenu mliozaliwa miaka 89 mpaka 2000 hapo wengi hamjielewi
 
Kwenye vigezo vya Number Mondi atashindwa tu mbele ya wasanii wa Nigeria,wao wenyewe wapo 200m hivi najua Mr fleva kuna mwaka Album yake moja alifikisha mauzo ya Online zaidi ya 1m,Mondi hajawahi.

Ndio maana nakuambia sisi Industry yetu bado sana kujifananisha na wanaijeria wenzetu wanakimbia sisi tuna tambaa.

Ndio maana nika kwambia Wizkid na mkubali sababu hata naye ana badilika,alafu fighter na si wakishua kama Davido.

Ila Mondi kwangu namkubali sababu ameachieve vitu vingi pamoja anafanya mziki kwenye mazingira magumu sana.

Kweli Mondi ana mengi ya kujifunza kwa Wizkid na ndio maana ana prefer kufanya kazi na wasanii wa Nigeria ili ajifunze zaidi,ili aweze kuwin fanbase ya washabiki walikuwa nao Wanaijeria,japo kuwa sisi huku WABONGO tunamsema ANAJIPENDEKEZA.

Hata wasanii wa Nijeria wanamkubali Mondi na ndio maana Wizikid alikuja mwaka juzi kufanya show,alivyo maliza akaenda Madale kwa Mondi na siku zote sio kosa kujifunza kwa mtu alipiga hatua ,sababu kupitia yy nawe unaweza ukafanikiwa.
 
Hata Ali Kiba alishaujaza huo uwanja, ni mwaka juzi kama sikosei. Sema video zake hazipo youtube kwa vile hapendi mambo ya sifa tu.
 
Kwenye vigezo vya Number Mondi atashindwa tu mbele ya wasanii wa Nigeria,wao wenyewe wapo 200m hivi najua Mr fleva kuna mwaka Album yake moja alifikisha mauzo ya Online zaidi ya 1m,Mondi hajawahi.

Ndio maana nakuambia sisi Industry yetu bado sana kujifananisha na wanaijeria wenzetu wanakimbia sisi tuna tambaa.

Ndio maana nika kwambia Wizkid na mkubali sababu hata naye ana badilika,alafu fighter na si wakishua kama Davido.

Ila Mondi kwangu namkubali sababu ameachieve vitu vingi pamoja anafanya mziki kwenye mazingira magumu sana.

Kweli Mondi ana mengi ya kujifunza kwa Wizkid na ndio maana ana prefer kufanya kazi na wasanii wa Nigeria ili ajifunze zaidi,ili aweze kuwin fanbase ya washabiki walikuwa nao Wanaijeria,japo kuwa sisi huku WABONGO tunamsema ANAJIPENDEKEZA.

Hata wasanii wa Nijeria wanamkubali Mondi na ndio maana Wizikid alikuja mwaka juzi kufanya show,alivyo maliza akaenda Madale kwa Mondi na siku zote sio kosa kujifunza kwa mtu alipiga hatua ,sababu kupitia yy nawe unaweza ukafanikiwa.
Hapa sasa nimekuelewa ndugu. Well said
 
Uko nchi gani wewe?. Nyie ndio haters wa vitu vyenu vya ndani. Na unakuta wewe ni kijana mdogo tu umri chini ya Diamond. Lakini naliona tatizo lako ni umri wenu mliozaliwa miaka 89 mpaka 2000 hapo wengi hamjielewi
Kuna siku utakuja kusema Joh Makini zaidi ya Kendrick Lamar. Coz joh mtanzania mwenzetu.
 
02 Juzi kati kwenye Tour ya Drake Wizkid alialikwa a wakapafom. Walipafom kwa njia ya Kutokuonana au?

Wizkid aliandika One Dance baadhi ya mashairi unaijua one Dance? Unajua ule usiku ilichukua tuzo ngapi za Billboard?

Come Closer walirekodi nayo bila kuonana? Stop hanting Even ana record na C.Brown who is Drake?
Tafuta mtoto mwenzako muanze kubishana mambo ya kipuuzi. My time is so precious dwag
 
Mwenyewe anajiita StarBoy. Usiku wa kuamkia leo alikuwa pande za U.K katika ukumbi maarufu wa 02 Arena. Wizkid aliujaza wote (20000) na tiketi zote zilikuwa Sold Out.

Hii inafanya msanii wa kwanza Afrika kuujaza ukumbi huo kwa Back to Back. Yani hiyo ni mara ya pili na mara zote tiketi zilikuwa Sold Out before Concert.

Tumezoea kuiona 02 Arena Ikijazwa na wasanii kama Chris Brown, Beyonce, Rihanna, Ariana Grande, Future n.k

STAR BOY NI MOTO WA KUOTEA MBALI.

Tunakwama wapi wabongo?
Kwa nini unasema wabongo tunakwama wapi? Unataka tukajaze 02 ya uingereza ili iweje?
 
Uko nchi gani wewe?. Nyie ndio haters wa vitu vyenu vya ndani. Na unakuta wewe ni kijana mdogo tu umri chini ya Diamond. Lakini naliona tatizo lako ni umri wenu mliozaliwa miaka 89 mpaka 2000 hapo wengi hamjielewi
Mkuu mbona unawatusi wajukuu zangu wa 1989 forward. Cha muhimu washauri watoke nje ya Tz na kuja huku duniani ili ikitokea msanii wa Bongo anafanya show basi nao wabongo wajae kiwanjani kama wanavyojaa Nigerians.
 
Diamond akiacha Uswahili, akiachana na waswahili wanaomzunguka atafika mbali sana
 
Back
Top Bottom