Wizkid ajaza ukumbi wa 02 Arena

Anaiwakirisha Nigeria sio Africa. Sapot inaipata sana Nigeria na wanaigeria wanaoishi huko nje na vipofu wajinga wachache kutokea kama Tz hivi
Bro i support Wizkid i support good Music from everywhere
 
Burnaboy naye anakuja juu
 

Haujui kitu # wizkid sio msanii wa kwanza wa africa kuujaza ukumbi huu ata davido ameisha ujaza na ticket zote kuwa sold out tafuta vzr historia utajua
 
Kajitaidi. Mkuu!!! But Starboy ni next levo.Kwenye nyanja ya muziki Afrika na Sehemu zingine. 02 Back to Back si mchezo. Hakuna mwafrika aliefanya hivyo. 02 ni wa dunia

Huu ujasiri unatoa wapi wakusema africa nzima ni yeye mbona davido kashaujaza au yeye sio muafrica fatilia vzr mziki
 
Haujui kitu # wizkid sio msanii wa kwanza wa africa kuujaza ukumbi huu ata davido ameisha ujaza na ticket zote kuwa sold out tafuta vzr historia utajua
Wizkid ndio alikuwa wa kwanza kuujaza, then akaja Davido. Hii ya juzi Wizkid kaujaza kwa mara ya pili (back 2 back), upo hapo?
 
Wizkid ndio alikuwa wa kwanza kuujaza, then akaja Davido. Hii ya juzi Wizkid kaujaza kwa mara ya pili (back 2 back), upo hapo?

Ok ila kwangu mimi kuna wasanii wanigeria walio born talented na wanaofosi na ukisema msanii bora kwangu kwa muda wote ni Burnaboy ndo wakwanza anakuja wizkid na malizia na Patoranking pamoja na mr flavour davido kuwa pale juu nijitihada zake yani yeye ni sawa na Cr 7 anafight sana ila natamani sana kuona BURNABOY akijaza uo uwanja
 
Kwahiyo unamaanisha CR7 hana talent?[emoji3][emoji3], Kama huna kipaji hata uwork hard 24 hrs huwezi kuwa kama Ronaldo vivyohivyo kwa Davido
 
Hiyo ndio sifa ya mwanaume halisi. Ukimrengeshea na wewe atakupitia tu,dogo sio mvivu,ili mradi tu usiwe na sura ka kapu la sokoni
Mnapokosea ndio hapo tu mkuu, jamaa aliweka uzi kuonyesha matusi aliyofanya Wiz na kumpongeza hivyo kama ilikua ni bora mngetoa pongezi tu bila kuanza kulinganisha maana ata mleta uzi hakushindanisha. Mtakoseana adabu bure humu ndani
 
Kwa kuongezea kuna nyimbo za Drake ambazo aliwahi kutungiwa na Burna Boy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…