Wizkid & Alikiba watu wabaya Africa (The most wanted)

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Si wengine bali ni vijana wawili Wizkid (Nigeria) na Alikiba (Tanzania). Kwanini nawaita ni watu wabaya au the most wanted in Africa?
1.Both Wizkid na Alikiba are most talented Artist, Yani vipawa na uwezo wao unaweza kuupima kwa kutumia nyimbo zao, uandishi wao wa kitofauti, yani kila nyimbo ambayo hutoa huwa lazima iwe hit song.

2. Both, huwezi kuwasikia eti wameshinda sijui tuzo 10 au ngapi japokuwa uwezo wao ulivyo bila fitina au kitu gani basi kusingekuwa na kenge yeyote mwenye kunusa tuzo hata moja katika category hawa wanyama waliopo.

3. Both are very arrogant person, Yani kama ni dharau au kiburi hawa jamaa wamejaaliwa, Huwezi kukuta wakilamba kiatu cha kima yeyote ili wapate kitu fulani, Wanajiamini sana na zaidi is untouchable, ni masikini jeuri wapo radhi walale njaa lakini si kulamba kiatu cha mtu.

4.Both wana charsma ya kupendwa sana na watu, Strong fans base ( die hard fans) ndiyo mhimili wao,

5.Both wana maadui wengi, hii ni kutokana na kuwa na kipaji kikubwa pamoja na tabia yao ya kutopenda kulamba miguu ya watu.

6. Both hawapendi show off, japokuwa wote wanamiliki fedha na mali nyingi kwa kila mmoja kutokana utajiri mwingi waliouchuma kutoka katika kazi zao.

My take: Siku ikitokea hawa miamba wafanye collabo Africa itasimama.

Mungu bariki Tanzania.
Mungu bariki Africa.
 
Havana haha haha haha nilitaka kucomment sema imenibd niache baada ya wewe kumaliza kila kitu..

Team promo na team kubebwa, wateja wa kununua tuzo za rejareja na tuzo za bei ya jumla utawajua tu,
 
Wiz na kiba wamefanana ? Maskin jeuri labda kiba ila sio wiz kid mkuu, Wiz kaanzia mbele anarudi nyuma yaan kabla wewe hujamgaha dunia inamfaha america inamfaha tena kuliko nigeria, tena wiz wewe unamfaham wenzako hawamfaham kiba hata kidogo. Ila ni ruksa kujifariji
 
Hujaelewa content wala context ya topic, Nenda kalale.
 
Ni kweli wanafanana Wizkid anaburuzwa na Davido Nigeria kama ambavyo Kibakuli anakimbizwa Bongo na Dai
 
Hizo Tuzo nazo ni kama KTMA tu, hadi Wizkid amekosa basi kazi ipo
 
Si wengine bali ni vijana wawili Wizkid (Nigeria) na Alikiba (Tanzania). Kwanini nawaita ni watu wabaya au the most wanted in Africa?
1.Both Wizkid na Alikiba are most talented Artist, Yani vipawa na uwezo wao unaweza kuupima kwa kutumia nyimbo zao, uandishi wao wa kitofauti, yani kila nyimbo ambayo hutoa huwa lazima iwe hit song.

2. Both, huwezi kuwasikia eti wameshinda sijui tuzo 10 au ngapi japokuwa uwezo wao ulivyo bila fitina au kitu gani basi kusingekuwa na kenge yeyote mwenye kunusa tuzo hata moja katika category hawa wanyama waliopo.

3. Both are very arrogant person, Yani kama ni dharau au kiburi hawa jamaa wamejaaliwa, Huwezi kukuta wakilamba kiatu cha kima yeyote ili wapate kitu fulani, Wanajiamini sana na zaidi is untouchable, ni masikini jeuri wapo radhi walale njaa lakini si kulamba kiatu cha mtu.

4.Both wana charsma ya kupendwa sana na watu, Strong fans base ( die hard fans) ndiyo mhimili wao,

5.Both wana maadui wengi, hii ni kutokana na kuwa na kipaji kikubwa pamoja na tabia yao ya kutopenda kulamba miguu ya watu.

6. Both hawapendi show off, japokuwa wote wanamiliki fedha na mali nyingi kwa kila mmoja kutokana utajiri mwingi waliouchuma kutoka katika kazi zao.

My take: Siku ikitokea hawa miamba wafanye collabo Africa itasimama.

Mungu bariki Tanzania.
Mungu bariki Africa.

Nasikia Kimasomaso ni hitsong Africa nzima..
 
K 4 REAK aka one man army, mzee wa promo anajua vizuri mbona
 
Back
Top Bottom