Wizkid & Alikiba watu wabaya Africa (The most wanted)

Wizkid & Alikiba watu wabaya Africa (The most wanted)

Kumfananisha wizkid na ally kiba ni kosaa

Hawako sawa hata robo wizkid ni class nyingine kabisaaaa
 
Si wengine bali ni vijana wawili Wizkid (Nigeria) na Alikiba (Tanzania). Kwanini nawaita ni watu wabaya au the most wanted in Africa?
1.Both Wizkid na Alikiba are most talented Artist, Yani vipawa na uwezo wao unaweza kuupima kwa kutumia nyimbo zao, uandishi wao wa kitofauti, yani kila nyimbo ambayo hutoa huwa lazima iwe hit song.

2. Both, huwezi kuwasikia eti wameshinda sijui tuzo 10 au ngapi japokuwa uwezo wao ulivyo bila fitina au kitu gani basi kusingekuwa na kenge yeyote mwenye kunusa tuzo hata moja katika category hawa wanyama waliopo.

3. Both are very arrogant person, Yani kama ni dharau au kiburi hawa jamaa wamejaaliwa, Huwezi kukuta wakilamba kiatu cha kima yeyote ili wapate kitu fulani, Wanajiamini sana na zaidi is untouchable, ni masikini jeuri wapo radhi walale njaa lakini si kulamba kiatu cha mtu.

4.Both wana charsma ya kupendwa sana na watu, Strong fans base ( die hard fans) ndiyo mhimili wao,

5.Both wana maadui wengi, hii ni kutokana na kuwa na kipaji kikubwa pamoja na tabia yao ya kutopenda kulamba miguu ya watu.

6. Both hawapendi show off, japokuwa wote wanamiliki fedha na mali nyingi kwa kila mmoja kutokana utajiri mwingi waliouchuma kutoka katika kazi zao.

My take: Siku ikitokea hawa miamba wafanye collabo Africa itasimama.

Mungu bariki Tanzania.
Mungu bariki Africa.
Nasikia wiz kid kawaambia anataka usd 100,000 $ ili afanye kolabo na kibakuli vp mumeshazipata au ndo michango inaendelea??????? na hii inamkwamisha kibakuli kila sehemu kufanya nao kolabo kwa sababu jina lake ni dogo mbona huwa amusemi ????????????
 
Nasikia wiz kid kawaambia anataka usd 100,000 $ ili afanye kolabo na kibakuli vp mumeshazipata au ndo michango inaendelea??????? na hii inamkwamisha kibakuli kila sehemu kufanya nao kolabo kwa sababu jina lake ni dogo mbona huwa amusemi ????????????

Nina wasiwasi na kilichokufanya ufike hapo mkuu
 
Wiz kid sio wakumfananisha na kibakuli wiz kid amechukua Bet ila kibakuli mwisho ktma n hatakuja kupata tuzo yyte ile asee jitu limemuiga dai ad kuishabikia ccm wtf?
 
Nina wasiwasi na kilichokufanya ufike hapo mkuu
Wasiwasi wako tu ila mimi najazia nyama katika habari ya mleta mada kwamba kuna na ili nyuma ya pazia linaendelea mbona hatuhabalishi?????????? ila tatizo itakuwa umeliangalia ktk mfumo wa timu zenu.
 
Uzi wa kufuta machoz na kujifarj ....

Maisha yana mwendo wa kasi sana na mabadiliko ni lazma ....


Cokestudio watu wanarukaruka tu
 
Yaani wewe kweli unamfananisha Wizkid na Kiba..

Duh unamuaibisha Kiba. Jaribu mwingine
 
ALIKIBA KUMILIKI MALI NYINGI :glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Lol.. yaan we mtoa mada umenchekesha. ila nna uhakika MtV hawatorudia tena makosa ya kumuweka huyu overrated kwenye vitu vya maana. Washajifunza
 
kiba na shabiki zake wamelilia tyzo weeeh mpaka wamepewa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Screenshot_20161110-180531.jpg


Screenshot_20161110-180511.jpg


Mbona hamuwaambii wakabadili jina basi?
 
Back
Top Bottom