Wizkid amemfundisha Diamond what it means to be an international artist

Wizkid amemfundisha Diamond what it means to be an international artist

Lazima ikune watu chochote afanyacho....tuzo anazo na mengineyo ni kama kila mtu atabeba mzigo wake...
 
walikua wanashinda lkn n vigumu sana baba kushindana na mtoto,lazima mtoto ataumia tuu

Kuna kuleta hoja na kuleta hoja sababu roho inaumia sana hata ndimu hazisaidii.

Umefungua uzi na wewe
 
....wameliona HILO na........ hiyo HIKO mikononi........maana HALICHOFANYA. ........jana MUSIYEMPENDA kachukua.........

USHAURI:

Nenda kwanza shule halafu uje hapa
Umeshindwa hata kuni-quote halafu unaniambia habari za shule hadi huu umri nilionao unaniletea chakula wewe uliyeenda shule au najiletea mwenyewe, hebu ni-tag kama ninavyokutag hapa sebamfaume ili nione kweli unafahaa kunionyesha njia ya shule ilipo.
 
Hata kama Diamond alikuwa better huwezi kuliona hilo kwavile wewe ni hater
 
Inafurahisha sana kuona siku hizi mashabiki wa Kiba huwasikii tena kumlinganisha Diamond na Kiba bali kilinganishi chao ni Diamond na WizKid or sometime Diamond na Davido... good guys manake mmeshabaini kwamba Diamond ni level nyingine!!
 
Bado mnaye tu #Diamondnihabarinyingine!
You knw what? Hawa jamaa siku hizi ukiwasoma wanaonesha wazi kwamba wamesha-surrender!!! Siku hizi majority kama sio wote wanajiegemeza kwa WizKid baada ya kuona Mfalme wao hana tena viwango vya kumlinganisha na Mond Bin Laden!! This's good, international for international and local for local!
 
diamond matuzo dogo alimyoosha wiz kid acheni wivu izo ni dalili za ki gasho
 
Live band unafananisha na cd Msagasumu wizkid next next next levels kabisaa
 
Last edited by a moderator:
Tz wakali wa liveband wanajulikana kama mwanafa, mr blue, kiba, christian bella, fid q, weusi....., .mond bila cd hawez
 
Ni Ojuelegba ooh
Dey know ma story
From holdup studio
A be hustle to work eeeh

Ni Ojuelegba oooh
Me en CD
From holdup studio
We be hustle to work eeeehh

Daaaaah I love this song
 
Back
Top Bottom