Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Ni mawazo yako hakika nayaheshimiwe! I choose to ignore.
walikua wanashinda lkn n vigumu sana baba kushindana na mtoto,lazima mtoto ataumia tuu
Wizkid next level yule aisee namkubali sana
Umeshindwa hata kuni-quote halafu unaniambia habari za shule hadi huu umri nilionao unaniletea chakula wewe uliyeenda shule au najiletea mwenyewe, hebu ni-tag kama ninavyokutag hapa sebamfaume ili nione kweli unafahaa kunionyesha njia ya shule ilipo.....wameliona HILO na........ hiyo HIKO mikononi........maana HALICHOFANYA. ........jana MUSIYEMPENDA kachukua.........
USHAURI:
Nenda kwanza shule halafu uje hapa
You knw what? Hawa jamaa siku hizi ukiwasoma wanaonesha wazi kwamba wamesha-surrender!!! Siku hizi majority kama sio wote wanajiegemeza kwa WizKid baada ya kuona Mfalme wao hana tena viwango vya kumlinganisha na Mond Bin Laden!! This's good, international for international and local for local!Bado mnaye tu #Diamondnihabarinyingine!
Wizkid ni habari nyingine,huyo domo anawaonea wasanii uchwara tu wasio na ujanja mwingi.
WizkidAyo #Starboy
Ni mawazo yako hakika nayaheshimiwe! I choose to ignore.