barcelonista
Senior Member
- Apr 26, 2021
- 158
- 149
Jamaa hatar alafu cool tuWizkidayo anaongoza wengine wanajikongoja
Biber kauwa saana,pita kwenye I.G yake kapost video fupi,,,,kina Dj Khalid wana comment🔥🔥Ngoja niutazame
Wana achana au wana mchana?Nyimbo yake ni nzuri ila naona Davido, Wizkid na Burna naona kadili siku zinavyoenda wana achana na biti zao za kinaija.
Ngoja nioneB
Biber kauwa saana,pita kwenye I.G yake kapost video fupi,,,,kina Dj Khalid wana comment🔥🔥
Sio mtu wa Social networksWiz Kid anajua aisee.. Instagram yake ndio inayonifurahisha. Ina followers karibia sawa na Diamond Platnumz, ila ina post 131 tu hadi leo hii, sijui uwa anafuta nyingine au.
View attachment 1892054
Ndugu yetu kila siku yeye post 10..
View attachment 1892059
Hahahahaha mamaeeeeeWiz Kid anajua aisee.. Instagram yake ndio inayonifurahisha. Ina followers karibia sawa na Diamond Platnumz, ila ina post 131 tu hadi leo hii, sijui uwa anafuta nyingine au.
View attachment 1892054
Ndugu yetu kila siku yeye post 10..
View attachment 1892059
Hana hata meneja km yupo mmoja tu.kuongozana na mandugu ndio kabisa haweziMwamba wizkidni talented hustler anapiga kazi tu hana maneno mengi