Wizkid ampandisha Davido na Tecno jukwaan kwenye show ya wizkid the concert

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Lagos jana palikuwa na show ya kukata na shoka pale mwamba wa africa adeleji au wizkid alipoitisha show ALIYOIPA JINA YA WIZKID CONCERT show ilikuwa kubwa sana maaana unaambiwa tiket ziliisha saa kumi na ukumbi ukajaa hivyo palikuwa haparuhusiwi mwingine kuingia maget yakafungwa

Kama unavyojua Lagos kwa buhar huwa pana bifu la mda mrefu kati ya DAVID OBIO A.K.A DAVIDO NA ABRAHAM ADEREJ A.K.A WIZKID

WIZKID anatokea familia ya kawaida sana siyo kama mwenzake davido ambaye anatokea familia ya kitajir sana ya mzee OBIO vijana hawa wote waliaanzia mziki kanisan kama waimba kwaya, kumbuka wasanii wengi wa naigeria huanzia mziki kanisan kama kiss daniel, p square na wengine wengi

Wasanii hao wamekuwa mahasimu kitu kilichopelekea kusubilishiana kuachia ngoma mmoja akiachia na mwingine ana achia ili amfunike mwenzake

Davido mara nyingi hutamba sana kwa Lagos lakin wizkid akiachia huwa ana mfunika

Lakin maajabu ya mussa jana kwenye show ya wizkid mnyama davido alipanda jukwaan na kukamua jukwaa moja na wizkid kitu ambacho kimeiacha hoi dunia na lagos kwa ujumla

Davido alipanda na kuamusha shangwe la kufa mtu

Vile vile mtayarishaji wa nyimbo, producer na msanii tecno pia alipanda jukwaan kukamua ile mbaya

Ilikuwa ni noma mazee

Wenzetu wamemaliza tofaut zao wasanii wetu hawatak liishe


LONDON BOY
 
Nasubiria mond na Kiba watapomaliza beef lao.....

Uzuri wa davido na wizkid wote ni wanamuziki wazuri tofauti na wa huku kwetu ambapo mmoja anatembelea nyota ya mwenzie[emoji23][emoji23][emoji23]
Yooo nan huyo anayetembelea nyota ya mwenzie?
 
Hakunaga ugomvi kati ya tajir na tajir...sana sana ni prestige tuu ya nan zaidi...na hii ndio ilikuwa kati ya wizkid na davido....sasa huku kwetu mmoja ni tajir mwingine ni njaa kali huku akijikweza kuwa ni tajir...kamwe haiwez tokea...wacha aendelee kuisoma number randomly...na maneno yake ya yoooooo! mwaka 2018 kuwen tayar kwa kibwagizo kipya....Yuuuuuuuuu!
 
HAHAHAHAA ETI KUNA MMOJA MASIKINI ILA ANAJIDAI TAJIRI.AFU HUYO HUYO ANATEMBELEA NYOTA YA MWENZIE...
Watu mna mambo
 
Ni muda muafaka wa kuwapandisha jukwaa moja Le Mutuz na Mange Kimambi. Hawa wasanii wetu wazee waige mfano.
 
Duh watu mna maneno ya shombo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…