Kama watu wamerudiana hilo sio penzi jipyaPenzi Jipya La WizKid Na Davido Baada Ya Wivu Wa Tuzo na kutukanana kuisha, Sasa Wamerudiana
[emoji2] [emoji1] nani anatembelea nyota ya mwenzie?Nasubiria mond na Kiba watapomaliza beef lao.....
Uzuri wa davido na wizkid wote ni wanamuziki wazuri tofauti na wa huku kwetu ambapo mmoja anatembelea nyota ya mwenzie[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu usinichimbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] [emoji1] nani anatembelea nyota ya mwenzie?
Tulia mtoto wa mwamashimba, mjini kuna vya watu ujueLimoyo langu limekudondokea