Wizkid ampandisha Davido na Tecno jukwaan kwenye show ya wizkid the concert

Wizkid ampandisha Davido na Tecno jukwaan kwenye show ya wizkid the concert

Penzi Jipya La WizKid Na Davido Baada Ya Wivu Wa Tuzo na kutukanana kuisha, Sasa Wamerudiana
e0fadfd2341b202543453da650288768.jpg

4f6a280097467d72f9e8b76a1820c126.jpg

a4747e40a17b0b8e7709d052d952bedb.jpg


 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bado kiba na mondi
Ccm na chadema
Bashite na gwajima
Kikwete na lowasa
Mimi na stamina
 
Nasubiria mond na Kiba watapomaliza beef lao.....

Uzuri wa davido na wizkid wote ni wanamuziki wazuri tofauti na wa huku kwetu ambapo mmoja anatembelea nyota ya mwenzie[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji1] nani anatembelea nyota ya mwenzie?
 
Kweli hyo ishu ndo ya kuiacha hoi dunia ? Mbona hao jamaa hawatingishi dunia? Labda ungesema iliwaacha hoi lagos
 
Back
Top Bottom